ü Kujengea uwezo vikundi mbalimbali vya kijamii katika suala zima la kujikwamua kiuchumi.
ü Kuendelea kutoa elimu ya VVU na Ukimwi na kuamasisha jamii upimaji kwa hiari
ü Kuendelea kupambana na Ukatili zidi ya watoto na wanawake
ü Kufanya Ushawishi na Utetezi kuhakikisha kuwa kuna kuwa na Uwazi,Uwajikaji,na Utawala bora katika sekta ya Afya.
Njia zinazotumika kuwafikia walengwa
ü Semina
ü Midahalo
ü Vipeperushi
ü Sanan Shirikishi
ü Kutembelea vituo vya serikali vinavyo toa huduma kwa jamii kama:
ü Vituo vya Afya vya Serikali
ü Vituo vya Elimu ya Serikali
ü Ofisi za serikali za Mitaa,kata,wilaya,Mkoa na Taifa
ü Kujengea Uwezo jamii kutambua haki za mteja katika kupata huduma ya Afya katika vituo vya afya vya serikali.
ü Kufanya Ushawishi na Utetezi kuhakikisha kuwa vijana wanapata masilahi yao katika jamii na serikali kwa ujumla.
ü Kuwajengea uwezo vijana kujikwamua kiuchumi,kutoa elimu ya Ujasilia mali,kuwaunganisha vijana kuwa pamoja katika maamuzi na kuhakikisha kuwa tunaingiza agenda za vijana WDC
ü Vyombo vya Habari
Mawasiliano/Mitandao ya kijamii kama
ü Sms kampeini
ü Facebook
ü Twitter
ü What’s App
ü Instagram
Maombi kwa Wadau wa maendeleo ya vijana
Ndugu Mhe,Mdau wa maendeleo ya vijana tunatuma maombi yetu kwako juu ya mambo yafutayo:
Vitendea kazi vifuatavyo;
ü Computer aina ya Laptop 2
ü Printer 1
ü Camera 1 na Rasilimali Fedha
ü Projekta 1
Tunaimani kubwa uatatusaidia katika hili ili tukamilishe malengo.
Shukrani zetu kwako/kwenu
Ndugu mh, waheshimiwa tunatoa shukrani zetu za dhati kwako/kwenu kwa kutufutilia kwaribu sana ili kuhakikisha malengo yetu kama vijana yana kamilika.
Tunawashukuru sana wetu wafuatao kwa ukaribu wao kwetu
ü Amref
ü Mhe,Diwani mstaafu wa kata ya chanika
ü Wenyeviti wa serikali za mitaa
ü Aliye kuwa Mbunge jimbo la ukonga 2010
ü Afisa maendeleo ya jamii wilaya ya Ilala. Afisa vijana wilaya ya Ilala.Ngao group na matumini group
|
Hitimisho
CTYO Ina kushukuru wewe kwa kutufuatilia kwa umakini sana.
Lakini pia CTYO ina vijana Makini,malidadi,
Waelevu,Wanaojiamini,Wanaoweza kupaga mipango,Kuisimamia na kuitekeleza ili kujiletea maendeleo na kuleta maendeleo katika jamii
|
|