Asili ((unknown language)) |
English |
 | Timu ya wenye Noti Tunduma maarufu kama Makambisee, imekuwa na mashabiki wengi wakati wa michezo yake kutokana na Mbwembwe za kutumia fweza zikuzoeeeeeeeee!!!!! |
 | Timu ya Veteran Tunduma ambayo kwa ujumla imekuwa hasimu Mkubwa wa Makambisee lakini wanapotoka uwanjani wanakuwa Ndugu, hapa kuna wachezaji wengi wa iliyokuwa TIGER Tunduma |
 | Timu ya Veteran Mbozi ambayo pia imekuwa ikitoa hamasa kubwa ya michezo ya mabonanza ya veterani imepania msimu huu kuwa na kiwango cha juu baada ya kujifua katika viwanja vya Magereza, Ichenjezya na CCM Vwawa. |
 | Hawa ni Veteran jiji la Mbeya al maarufu watoto wa Mujini, mziki wake mnene wanapokuwa uwanjani kutokana na kuwa na wachezaji wengi veteran ambao wamecheza ligi kuu |
|
|