Base (Swahili) | English |
---|---|
Shabiki wa timu ya Arsenal, akibugujikwa na machozi baada ya timu yake hiyo kupokea kipigo cha mabao 3-2 kutoka kwa timu changa katika anga ya Soka katika mchezo uliochezwa juzi, timu iliyopanda daraja vijana wa Wales Swansea. Je mapenzi ya ushabiki kama huu wabongo tunao hadi katika timu zetu za nyumbani? Moyo wa aina hii katika ushabiki wa kweli unahitajika sana katika timu zetu za nyumbani na hasa timu yetu ya Taifa na si wale mashabiki wanaozomea pindi timu inapofanya vibaya na kuanza kushangilia timu pinzani, lakini ukiwa na mapenzi ya kweli kama huyu jamaa mambo hayo yote kamwe hayawezi kutokea ila utakuwa na moyo wa subira tu na kuipa moyo timu yako.
nimeipenda kutoka kwa Sufian Mafoto
|
Arsenal fan, he bugujikwa and tears after her team's 3-2 blow received from a young team in the football atmosphere at the game was played on Wednesday, a team of young grade iliyopanda Wales Swansea. How will this Wabongo fanaticism as we team up in our home? The heart of this type in real fanaticism is needed in our home team and especially our national team and not those fans who boo when the team Where I am wrong and begin to celebrate opposing team, but you will really like this family of these things never happen, but you can not have a heart of patience just to give your team spirit. I love the photo by Sufian |
Translation History
|