Base (Igiswayire) | English |
---|---|
Kusaidia jamii ya Mkoa wa Mtwara katika Mapambano dhidi ya maambukizi mapya ya VVU/UKIMWI, Kuleta mabadiliko ya tabia katika jamii katika kupunguza/kutokomeza ugonjwa wa malaria, kutunza na kusaidia watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu na wajane; na kutoa elimu kwa jamii. |
Supporting communities of Mtwara Region in the struggle against new infections of HIV / AIDS, to bring behavioral changes in society in the reduction / eradication of the disease, care and support children orphaned and living in difficult circumstances and widows, and providing education to the community. |
Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe
Ibyasobanuwe
|