Envaya

Tafsiri: English (en): Maandiko ya Watumiaji: WIEDnQ79OQbRPke6N0kB7cDv:content

Asili (Kiswahili) English

DHIMA

kuwaraghabisha na kuwawezesha watoto yatima walio katika mazingira magumu na jamii kwa ujumla ili waweze kuongeza kipato cha kila mtu,kwa kutunza mazingira kwa kutoa elimu na misaada kwa walengwa

DIRA

kuwa na jamii yenye afya bora uchumi imara na mazingira bora yanayowazunguka

(Bila tafsiri)

Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe