Base (Icyongereza) | English |
---|---|
sawa mwalimu geofrey.. labda mawazo yako makuu ni nini.? Nnachoweza kukwambia ni kuwa. Jaribu kuwa mbunifu na jitolee kwa kazi mbalimbali za kijamii, ila kwa kila jambo ulifanyalo jaribu kuweka kumbukumbu kwa picha na hakikisha unatuma picha zako kwetu ili kuweza kutambua u active wako. hii itakusaidia kukuweka kinara na kukupa nafasi yeyote nzuri itakayotokea mfano, kimasomo zaidi au zawadi mbalimbali mpaka cheo. |
(Not translated) |
Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe