Base (Swahili) | English |
---|---|
Mtaalamu wa magonjwa ya wanyama.Dr.Jane.akiwasilisha mada,juu ya uhifadhi wa mbuga za wanyama.Sokwe ni mhimu wahifadhiwe,maana wanaisha.amekaribisha watalii wanaopenda kuwaona sokwe,jane peaks,misitu,maporomoko ya kakombe na wanyama wengi hapa Gombe.Karibu sana wadau wetu,bei ni nafuu sana. |
(Not translated) |