Asili (Kiingereza) | English |
---|---|
ORGANIZATION FOR LAND AND AGRICULTURE IMPROVEMENT (OLAI) P.o. Box 62 TANDAHIMBA. Mobile: 0788715532/0768098726. OLAI inatambua na kuuthamini sana mchango mkubwa wa ENVAYA, kwa kuziwezesha Asasi za kiraia (NGO) nchini, kuingia kwenye mawasiliano ya Tovuti. Ukweli unabaki palepale kuwa Envaya imedhamiria kuinua hali za mashirika yasiyo ya kiserikali kuonekana Duniani. Hongera sana ENVAYA kwa kazi mzuri. |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe