Asili (Kiswahili) |
English |
Kazi zetu ambazo tumezifznya katika miaka mitatu iliyopita ni kutoa elimu juu ya kuthibiti maambukizi mapya ya virusi vya maralia na ukimwi mazingi na umasikini pamoja na hayo yote changa moto tunazo kumbananazo ni kukosa fedha za kujiendesha pamja na vifaa kwa dhima nzima ya shirika letu.Tumeandika madodoso mbalimbali katika mashirika tofauti ya kifedha lakini hadi leo hatuja pata mfadhili wa kutuunga mkono jitihada zetu hizo.Kazi nyingine tunashindwa kuwafikia walengwa vijijini kwa sababu hizo za ukosefu wa fedha.Lengo letu kuu hadi kufikia 2015 tatizo la maralia na maambukizi mapya ya virusi vya Ukimwi na Umasikini viwe vimepungua kama si kwisha kabisa.
|
Our work that we zifznya in the last three years is to provide education on new infection control Malaria and HIV infection primarily by poverty despite all these challenges we have is lack of funds kumbananazo devotee and automatic equipment for the entire liability implications of corporate letu.Tumeandika different in different financial institutions but to date we have not received donor support of our efforts, we failed to reach another hizo.Kazi targeted these areas because of our lack of fedha.Lengo central to the problem of Malaria by 2015 and new infections of HIV and AIDS Poverty should be reduced, if not already completely.
|