mashirika na wadau wengine kama winlock wametoa misaada kwa watoto kama vile nguo za shule na vifaa vya shule – -msaada huu kutoka kwa wadau wengine umewanufaisha watoto ambao walikuwa wanashindwa kwenda shule kwa kukosa nguo za shule na vifaa vya shule | (Bila tafsiri) | Hariri |