Log in

/pemwa/projects: English: WI000AC3B59CC9A000020408:content

« Previous   ·   Next »
Base (Swahili) English

1. Upandaji wa miti na uhifadhi wa mazingira katika maeneo tofauti ya Manispaa ya Lindi.

2. Utoaji wa Huduma kwa wagonjwa wa muda mrefu majumbani katika kata 13 za wilaya ya Lindi.

3. Utoaji wa Elimu ya afya ya msingi kwa jamii ili kupambana na magonjwa ya milipuko hasa Kipindupindu na malaria katika Manispaa ya Lindi.

4. Uchimbaji na ujenzi wa visima vifupi 4 vya maji katika kata 4 za; Jamhuri, Mitandi, Mtanda na Ndoro zilizopo manispaa ya Lindi.

5. Kujenga uwezo kwa waelimishaji rika 50 ngazi ya kata kwenye kata 5 kuhusu mbinu shirikishi jamii katika kupambana na VVU/UKIMWI katika Manispaa ya Lindi.

6. Kujenga uwezo kwa wakunga na waganga wa jadi 50 kuhusu jinsi ya kuandaa madawa ya asili yaliyo salama na jinsi ya kuwahudumia watu walioambukizwa VVU na wagonjwa wa UKIMIWI na magonjwa nyemelezi.

7. Kutoa lishe kwa watu wanaoishi na VVU/UKIMWI wapatao 131 katika maeneo tofauti ya Manispaa ya Lindi.

8. Kuelimisha na kuhamasisha jamii juu ya umuhimu wa unyonyeshaji maziwa mama watoto wa umri wa miaka 0-5 na akina mama wajawazito kuhudhuria kliniki na kupatiwa lishe bora katika vijiji 30 vya Lindi vijijini.

9. Kuelimisha na kuhamasisha wanaume kushiriki katika masuala ya uzazi wa mpango na mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI kwa kuimarisha mahusiano katika familia kwenye kata 20 za Mikoa ya Lindi na Mtwara.

10. Kujenga uwezo kwa watoto ili kuwawezesha kufanya ushawishi na utetezi juu ya haki na usawa wa kiuchumi kwao kupitia mabaraza ya kata ya watoto kwenye kata 28 za Manispaa ya Lindi na Lindi vijijini.

11. Kujenga uwezo kwa watu waishio na VVU/UKIMWI wapatao 180 katika kata 8 za Manispaa ya Lindi na Lindi vijijini ili kuelimisha na kuhamsisha jamii kupunguza unyanyapaa kwa watu waishio na VVU/UKIMWI. 

12. Kuhakikisha usalama wa chakula kwa makundi ya watu walio katika hatari zaidi ya kuathirika na umaskini wapatao 18000 waliopo katika vijiji 10 vya kata 3 za Lindi vijijini. 

13. Uelimishaji na uhamasishaji vijana kupiga vita UKIMWI na matumizi ya madawa ya kulevya katika kata 2 za Manispaa ya Lindi.

14. Kuboresha hali na afya za watu wanaoishi na VVU/UKIMWI katika kata 10 za Manispaa Lindi na Lindi vijijini.

15. Kuvijengea uwezo vikundi vya sanaa 2 vyenye jumla ya watu 30 ili kuhamasisha jamii kupambana na VVU/UKIMWI katika maeneo tofauti ya Lindi vijijini.

1. Tree planting and conservation of the environment in different areas of the Municipality of Lindi.

2. Provision of services for patients of long-term homes in 13 wards of District Lindi.

3. Providing health education to the community foundation to combat epidemics, especially cholera and malaria in the Municipality of Lindi.

4. Extraction and construction of four shallow water wells in the county 4; Republic, one who spreads, bed and Ndoro existing municipal Lindi.

5. Build capacity for 50 peer educators at the county level about five county community participatory approach in fighting HIV / AIDS in the Municipality of Lindi.

6. Build capacity for midwives and 50 traditional healers on how to prepare traditional medicines that are safe and how to serve people who are infected with HIV and patients with opportunistic infections UKIMIWI.

7. Providing nutrition for people living with HIV / AIDS in about 131 different places Municipal Lindi.

8. Educate and mobilize communities on the importance of exclusive breastfeeding milk of mothers aged 0-5 years and pregnant women attending nutrition clinics and supplied in 30 villages of Lindi Rural.

9. Educate and encourage men to participate in family planning issues and the fight against HIV / AIDS by strengthening family ties in the 20 county regions of Lindi and Mtwara.

10. Build capacity for children to enable them to do lobbying and advocacy on economic justice and equality to them through the county councils of the 28 children in the county municipalities of Lindi Rural and Lindi.

11. Capacity building for people living with HIV / AIDS in the county of about 180 8 Municipal Lindi Rural and Lindi kuhamsisha community to educate and reduce stigma for people living with HIV / AIDS.

12. Ensuring food security for groups of people who are at risk of poverty affected about 18,000 were located in 10 villages of Lindi Rural Ward 3.

13. Educators and youth to fight HIV / AIDS awareness and use of drugs in two wards of the Municipality of Lindi.

14. Improving the condition and health of people living with HIV / AIDS in 10 county municipalities and Lindi Rural Lindi.

15. Kuvijengea capacity two art groups containing a total of 30 individuals to mobilize communities to fight HIV / AIDS in different regions of Lindi Rural.


In order to edit translations, you need to log in. Log in · Register

Translation History

Google Translate
May 14, 2011
1. Tree planting and conservation of the environment in different areas of the Municipality of Lindi. – 2. Provision of services for patients of long-term homes in 13 wards of District Lindi. – 3. Providing health education to the community foundation to combat epidemics, especially cholera and malaria in the Municipality of Lindi. – 4. Extraction and construction of four shallow water wells in the county 4; Republic, one who spreads, bed and...