1. Upandaji wa miti na uhifadhi wa mazingira katika maeneo tofauti ya Manispaa ya Lindi. – 2. Utoaji wa Huduma kwa wagonjwa wa muda mrefu majumbani katika kata 13 za wilaya ya Lindi. – 3. Utoaji wa Elimu ya afya ya msingi kwa jamii ili kupambana na magonjwa ya milipuko hasa Kipindupindu na malaria katika Manispaa ya Lindi. – 4. Uchimbaji na ujenzi wa visima vifupi 4 vya maji katika kata 4 za; Jamhuri, Mitandi, Mtanda na Ndoro zilizopo manispaa ya... | (Bila tafsiri) | Hariri |