Dira ya kitaifa iliwekwa na umoja wa mataifa mwaka 1982 kwamba wazee washirikishwe katika mipango ya maendeleo. Mwaka 1999 serikali ya Tanzania iliamua kuwa na sera ya Taifa ya wazee. Mwaka 2002, mpango huu wa kimataifa ulifanyiwa mapitio kubaini matatizo na mahitaji ya wazee karne ya 21. – Saidia Wazee Tanzania, shirika la kitaifa, ilianzishwa tarehe 21 machi,1994. Saidia wazee Tanzania – Mara (SAWATA MARA) ni tawi la Saidia Wazee Tanzania, (kitaifa).... | National Vision was set by the United Nations in 1982 that the elderly are engaged in development planning. In 1999 the government of Tanzania decided to have a national policy of the elderly. In 2002, this international program was reviewed to identify problems and needs of elderly 21st century. – Help Elderly in Tanzania, a national organization, founded on 21 March, 1994. Help elderly Tanzania - Mara (SAWATA MARA) is a branch of Help Older Tanzania,... | Edit |