| Interview 2 – 1.Unaishi eneo gani?! – Keko Magurumbasi 'A' – 2.Mtaa wako unahitaji kitu gani sana sana?! – Kutengenezwe mkondo wa maji kutoka darajani,mpaka kurasini shelly ili kuruhusa njia ya maji kuelekea bahari ya hindi.
Kuwepo na eneo maalumu la kuweka taka.
3.Mafuriko yameleta athari gani kwenye nyumba unayoishi na vitu vyako?! – Vitu vyote vya ndani vimeharibika,TV,kabati,magodoro... | (Bila tafsiri) | Hariri |