shirika limeandika mradi wa PETS katika kata za bungu kolelo na kasanga ndani ya tarafa ya mvua wilaya ya morogoro vijijini – shirika la viyoso limeendesha mafunzo kwa vijana ndani ya manispaa na kuwajengea uwezo vijana wa kujitambua na kutambua fulsa zilizopo hili wajiletee maendeleo – shirika la viyoso limetoa michango ya ada kwa wanafunzi wanaoishi katika mazingira magumu ndani ya kata ya uwanja wa taifa - morogoro manispaa. – shirika la viyoso... | (Not translated) | Hindura |