Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/ikwabe/post/7169
: Kiswahili
1
2
Ifuatayo »
Asili
Kiswahili
Kwa mashirika yetu yaliyopo vijijini tunazo changamoto mbambali katika kutekeleza miradi ya jamii kutokana na jamii zenyewe kushindwa kutofautisha ni yapi mashirika ya mikopo na yale ya huduma, hivyo tunatoa maoni mashirika haya ya vijijini kupata ushirikiano wa karibu na mashirika mengine kwani walengwa wengi wanapatikana vijijini. Tunawapongeza Foundation kwa kuwa wanajali na wanatufikia huku vijijini, mashirika mengine yaige mfano huo.
(Bila tafsiri)
Hariri
Shirika letu kwa sasa tumeweza kuwasaidia watoto 45 wanaoishi katika mazingira hatarishi wa vijiji vya Lusanga, Kwadoli na Dihinda kupunguza makali ya maisha kwa kuwapatia chakula,nguo na vifaa vya kusomea. – Pia upande wa VVU/UKIMWI shirika limeweza kuendesha zoezi la kupima kwa hiari katika kijiji cha Lusanga ili kubaini maambukizi mapya hapo mwaka 2009 na 2010 na kubaini waathirika 18 ambao wanapata huduma ya dawa za kurefusha maisha sasa. – ELIMU:Shirika...
(Bila tafsiri)
Hariri
Add a comment
Ongeza maoni
Hariri
Your email:
Email yako:
Hariri
Your email address will not be published.
Anwani yako ya email haitachapishwa.
Hariri
Your location:
Mahali ulipo:
Hariri
%s said:
%s alisema:
Hariri
(optional)
(sio lazima)
Hariri
Publish comment
Chapisha maoni
Hariri
Comments
Maoni
Hariri
January
Januari
Hariri
{month} {day}, {year}
{day} {month}, {year}
Hariri
Kinyarwanda
(Bila tafsiri)
Hariri
Swahili
ALLIANCE FOR SOCIAL CHANGE { UMAKI } ni shirika lisilo la kiserikali na watu wake wa kujitolea ni 1. KENETH MKATA 2. MOHAMED KIZERU 3. MWANAIDI SALIMU
Hariri
Main Menu
Menyu Kuu
Hariri
1
2
Ifuatayo »