1998: UHAMASISHAJI JAMII ZA UROA, MARUMBI, PONGWE PWANI ILI KUIMARISHA USAFI WA MAZINGIRA NA MATUMIZI YA VYOO HIVYO KUJIKINGA NA MILIPUKO YA MARADHI YA KIPINDUPINDU NA KUHARISHA
1999/2000: UHAMASISHAJI JAMII ILI KUANZISHA VIKUNDI VYA KUPANDA MITI YA MIVINJE NA MIDIMU
2001/2002: KUELIMISHA JAMII ZA WANAKIJIJI WA UROA,PONGWE PWANI NA MARUMBI KUHUSIANA NA MIKAKATI YA MATUMIZI BORA YA BAHARI, MISITU
2003/2004: KUELIMISHA WANAJAMII NA WAJASIRIAMALI WADOGO... | (Not translated) | Hindura |