Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/AUG/news
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
(image) – Samaki akiwa amekufa mda mfupi kwa kukosa hewa
(Bila tafsiri)
Hariri
Vijana wa Africa Upendo Group wamekuwa wakikutana mara kwa mara kujadiliana maswala mbalimbali yanayohusu vijana. – kutokana na wimbi la vijana wengi ambao wanamaliza vyuo vikuu lakini kutokana na mashirika na serikali kung'ang'ania kuwa vijana hawa wawe na uzoefu katika kazi na kwa kuzingatia kuwa vijana hawa ndio kwanza wanatoka kwenye vyuo wamekuwa katika kuhangaika sana. – Katika asasi yetu ya Africa Upendo Group tumekuwa na kitengo maalum cha kuwasaidia vijana...
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – Mkurugenzi wa Africa Upendo group akiwa anasikiliza kwa makini vijana wakiwa katika mafunzo ya Ulinzi Salama katika Mtaa wa Makuburi -Kibangu.Aliyevaa tisheti ya kijani aliweza kuwakamata majambazi waliopora fedha kule buguruni zaidi ya milioni 28.Anaitwa Miraji Ramadhani Rashid.
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – vijana wanajipa mazoezi katika mafunzo ya kujiamini.
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – Vijana wakijadiliana mambo huku wakiwa katika mafunzo ya Computer na ujasiriamali.
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – Mkurugenzi wa Africa Upendo Group akiwa na Mwalimu Winfrida Mgina wakipeana mawazo kama wanawake jinsi ya kuwasaidia wasichana na akina mama ambao hawakubahatika kusoma na kujiendeleza.
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – Akina mama wakijadiliana jinsi ya kuendesha biashara zao kwa kutoa mifano mbalimbali katika Mafunzo ambayo yaliendeshwa na partners wetu ICTD Learning Centre na DOT
(Bila tafsiri)
Hariri
Africa Upendo Group imeanzisha program inayojulikana kama SISI KWA SISI.Program hii ni kwa ajili ya wale wote ambao wangependa kujifunza kutumia Computer na kujua kuzungumza kiingereza rika lolote lile.Program hii ni bure haina gharama yoyote ni mtu kuchukua form pale ofisini kwetu na kwa kwa wale wote ambao wanaishi katika Jimbo la Ubungo tumependa kuanzia pale ofisi yetu ilipo kwanza ndipo tutakaposambaa pote Tanzania.Vijana wetu waalimu ni wengi na bado tunahitaji...
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – Vijana wakijadiliana katika mazoezi waliyopewa.Wako katika mafunzo ya ujasiriamali na ICT
(Bila tafsiri)
Hariri
(hidden)
(hidden)
(hidden)
(hidden)