| DAKEDEO NA USHIRIKIANO NA ASASI YA UNA. – DAKEDEO.Imeanza kushirikiana na mashirika mengine yenye lengo la kulete mabadiliko chanya kwa jamii. – Katika kufanya hivyo DAKEDEO imeanzisha ushirikiano na ASASI ya UIGIZAJINA NGOMA ZA ASILI (UNA), KAMPUNI YA UCHUKUAJI WA KUMBUKUMBU YA SIGNAL ONE LTD ya Dar es salaam' – Lengo la ushirikiano huo ni kuona kuwa asasi hizi zinafanya kazi pamoja katika njia ya kubadilishana uzoefu, ... | (Bila tafsiri) | Hariri |