Envaya
/soet/news
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
(image) – Mnufaika wa mafunzo ya kuimarisha haki za wanawake akitoa Elimu kwa wananchi wa Mbagala Chalambe kwenye mikutano ya hadhara
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – Wahitimu wa mafunzo ya KUIMARISHA HAKI ZA WANAWAKE mbagala Chalambe wakiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi wa SOET mara baada ya kupewa vyeti vya ushiriki
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – Akina mama wa Mbagala Chalambe wakipata chai baada ya mapumziko katika mafunzo ya KUIMARISHA HAKI ZA WANAWAKE
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – Mshiriki wa mafunzo ya kuimarisha haki za wanawake akichangia kwa vitendo aliyojifunza
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – Viongozi wa dini na akinamama wa mbagala Chalambe wakipata kifungua kinywa katika mafunzo ya KUIMARISHA HAKI ZA WANAWAKE
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – Washiriki wa mafunzo ya KUIMARISHA HAKI ZA WANAWAKE wakiwa katika majadiliano ya vikundi.
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – Akina mama wa Mbagala Chalambe wakiwa kwenye majadiliano ya vikundi,wakijadili juu ya haki zao kwa mujibu wa sera ya wanawake na jinsia 2000
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – Mwenyekiti wa Taifa wa SOET ndugu Derrick Luhende,akifungua mafunzo ya KUIMARISHA HAKI ZA WANAWAKE wa Mbagala Chalambe katika ukumbi wa Green Park Annex Chalambe-DSM
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – wawezeshaji na akina mama wa mbagala chalambe wakiwa tayari kutoa elimu ya kuimarisha haki za wanawake
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – Baadhi ya akina mama wa Mbagala Chalambe wakiwa katika picha ya pamoja katika ofisi za SOET wakiwa na vipeperushi kabla ya kwenda mitaani kutoa elimu juu ya haki za akinamama
(Bila tafsiri)
Hariri