Envaya

/mmpo/news: Kinyarwanda

BaseKinyarwanda
Debora Sandhu(Msaidizi wa sheria kutoka Musoma Municipal Paralegal Organization -MMPO) akitoa elimu ya sheria juu Haki na wajibu wa mtoto katika Shule ya Msingi Capt.Nyamsangira iliyoko katika Manispaa ya Musoma huku akimsaidia mmojawapo wa watoto wenye ulemavu. (image)(Not translated)Hindura
Mlezi wa Dorica Elias aliyepata elimu ya sheria juu ya Haki ya elimu kwa mtoto kutoka kwa wasaidizi wa sheria MMPO na kuamua kumrudisha shuleni mtoto na si kufanya biashara ndogo ndogo. – (image)(Not translated)Hindura
Caroline D.Marando(Msaidizi wa sheria kutoka Musoma Municipal Paralegal Organization -MMPO) akitoa zawadi kwa wanafunzi waliojibu vizuri maswali baada ya kupta elimu ya sheria juu ya Haki na wajibu wa mtoto katika Shule ya Msingi Nyamatare "A" iliyoko katika Manispaa ya Musoma. (image)(Not translated)Hindura
Debora Sandhu(Msaidizi wa sheria kutoka Musoma Municipal Paralegal Organization -MMPO) akitoa elimu ya sheria juu Haki na wajibu wa mtoto katika Shule ya Msingi Nyamatare "B" iliyoko katika Manispaa ya Musoma. (image)(Not translated)Hindura
Joseph Kanga(Msaidizi wa sheria kutoka Musoma Municipal Paralegal Organization -MMPO) akitoa elimu ya sheria juu Haki na wajibu wa mtoto katika Shule ya Msingi Nyamatare "A" iliyoko katika Manispaa ya Musoma. (image)(Not translated)Hindura
Joseph Kanga na Debora Sandhu(Wasaidizi wa sheria kutoka Musoma Municipal Paralegal Organization -MMPO) wakitoa miongozo mbali mbali ya utatuzi wa migogoro kisheria katika Baraza la kata ya Buhare. (image)(Not translated)Hindura
Emmanuel Alphonce-kulia mwisho(Msaidizi wa sheria kutoka Musoma Municipal Paralegal Organization -MMPO) akiwa katika ofisi ya Taaluma Shule ya Msingi Kigera "A" iliyoko katika Manispaa ya Musoma akiwa na Dorica Elias-katikati(mtoto aliyerudi shule baada ya mlezi wake kupata elimu ya kisheria juu ya Haki ya elimu kwa mtoto pamoja na Mwalimu wake wa Taaluma(kushoto mwanzoni) – (image)(Not translated)Hindura
Dorica Elias alivyokutwa na wasaidizi wa sheria kutoka Musoma Municipal Paralegal Organization-MMPO kabla ya kurudi shule. – (image)(Not translated)Hindura
Emmanuel Alphonce -kushoto(Msaidizi wa sheria kutoka MMPO akitoa elimu juu ya umuhimu wa shule kwa Charles Dotto kutoka kijiji cha Kinesi wilayani Rorya katika maisha yake ya baadae kuliko kufanya biashara aliyonayo kwa sasa. – (image)(Not translated)Hindura
The MMPO staff namely Emmanuel Alphonce (in the photo) providing legal education to the Nyakato Primary School pupils on "Children rights and their Responsibilities" in Musoma Municipal Council in Musoma District in Mara region. – (image)(Not translated)Hindura