Envaya

/mof/post/31: Kiswahili

AsiliKiswahili
Ina wezekana kurudisha matumaini kwa msitu wa SHENGENA kwa nia thabiti kwa pamoja kivitendo vitendo tuna weza kurudisha rangi ya kijani katika msitu wa shengena hima hima tuungane kwa pamoja tuokoe mazingira ya msitu huu tukumbuke kuwa misitu ni uhai!(Bila tafsiri)Hariri
TWASHUKURU KWA HILI KAMA TUMELIONA KWA PAMOJA SASA NI KUPAMBANA NA USIMAMIZI WA UHIFADHI WA MAZINGIRA – TURUDISHE KIJANI YETU HAPA NCHINI NA DUNIANI TUKIAZIA SISI AKUMAKI, MOHISPAC,GREEN SUPPORT ORGANIZATION TANZANIA – HAYA SHEME SHEME – AZENI TUWAZE KUHIFADHI MAZINGIRA(Bila tafsiri)Hariri
JAMBO HILI ELEKEZI NI BORA SANA KULIKALIA ASASI WANA CHAMA WA MAZINGIRA KULIPA NGUVU ZA HOJA NA UKAMILIFU PILI NAWATOLEA SHUKURANI ZETU ZOTE JUU YA SWALA ZIMA LA MAZINGIRA JE NDUGU. WAJUA KUWA ADUI WA MAZINGIRA NI MTU TAJIRI TUJIPANGE KWA HILO NASI TUKO PAMOJA HILI NDIO ONI LETU(Bila tafsiri)Hariri
Tunashukuru kwa kututia moyo kuokoa msitu wa shengena.Tunaomba tushirikiane – kufanikisha hilo. – Mch Makenya – Mkurugenzi – Original Message:(Bila tafsiri)Hariri
Facebook page(Bila tafsiri)Hariri
Children corner/story(Bila tafsiri)Hariri
Events(Bila tafsiri)Hariri
HOW TO SAVE SHENGENA FOREST FOR TODAY AND FOR FUTURE GENERATION – Mohispac Foundation January 25 at 11:51 AM EAT We need all stakeholder to discuss on how we can save shengena forest?Not only that but also this discussion will open the way towards to the wonderfully environmental walks which will be held on 15 july 2013.All are...JINSI SAVE SHENGENA FOREST YA LEO NA YA BAADAYE UTOKAJI – Mohispac Foundation Januari 25 saa 11:51 EAT Tunahitaji yote ya wadau kujadili juu ya jinsi tunaweza kuokoa shengena msitu Si tu? Kwamba lakini pia mjadala huu itafungua njia ya kuelekea kwa matembezi ya ajabu ya mazingira ambayo itakuwa unafanyika tarehe 15 Julai 2013.All...
(This translation refers to an older version of the source text.)
Hariri
Donation page(Bila tafsiri)Hariri