Mzeituni Foundation,tunatambua umhimu wa katiba mpya yenye kujibu mambo ya msingi yanayojibu kero za wananchi na kugusa maisha yao ya kila siku moja kwa moja,ili mwisho wa siku tuwe na Tanzania tunayoihitaji,Tanzania yenye Amani inayonufaika na uwepo wa rasilimali zake. – Tumefurahi pia kwa rasimu ya katiba ambayo walau imejaribu kugusa na kuyasemea mambo mhimu ambayo kwa muda mrefu watanzania wamekuwa wakiyapigia kelele. – Ni wito wet kuwa kila mmoja wetu ashiriki... | (Not translated) | Edit |