Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/bakwataser/post/4
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
allah awajaze khel inshalla
(Bila tafsiri)
Hariri
assalam aleykum allah awafanyie wepesi kwa kupanua wigo kufungua akaunt maoni yangu naomba msambaze walim wa madras vijijini kwa sababu uislam unafifia
(Bila tafsiri)
Hariri
Bwana Shaban, tutajitahidi tufanye kama unavyoshauri. – ahsante endelea kutupatia mawazo kila upatapo jambo la kutukumbusha.
(Bila tafsiri)
Hariri
Mimi naomba muwe masomo ya dini tunawauliza maswali mnatujibu kupitia hapo tovut yenu km wanavofanya wengine.
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – Hii ni nyumba iliyojengwa na Waumini kwa ajili ya nduguyetu wenye Ulemavu wa macho Bwana OMARY Mkazi wa kijiji cha Burunga
(Bila tafsiri)
Hariri