Fungua

/TYNF/news: Kiswahili

AsiliKiswahili
c)idadi kubwa ya watoto ambao hawaja bainiwa – e)baadhi ya familia kama zikiboreshewa kipato zinaweza kujiendesha zenyewe – -baadhi ya watoto katika familia nyingi hazija waandikisha watoto shule na kama wakipelekwa shuleni wana weza kijifunza. – d)watoto hawaja andikishwa shule(Bila tafsiri)Hariri
kuhamasisha na kushawishi jamii juu ya ushirikishwaji wao katika kuwalea mvccs – baadhi ya wananchi hawajui kiswahili, wanongea lugha za kikabila – ni vizuri tukiwa na wakalimani ambao watakuwa wanatusaidia kutafsiri lugha ili kila mtu aweze kuelewa na kuchangia maoni yake – lugha ni chombo cha mawasiliano kwa hiyobasi tukiwa na wakalimani jamii nzima itauelewa mradi wetu vizuri na ushiriki wao utakua mzuri pia – language...(Bila tafsiri)Hariri
c)watoto wanamapungufu makubwa ya mahitaji ya msingi kama vile chakula,elimu na mavazi – d)wananchi na jamii ishirikishwe katika suala zima la kuhudumia watoto walio katika mazingira hatarishi. – e)jamii imezoea kupewa(kupokea) misaada na siyo kujihusisha(kuhusika) katika suala la uchangiaji huduma kwa watoto walio katika mazingira hatarishi – -wazazi na walezi wakiwezeshwa(kuboreshewa) uchumi katika familia wataweza kuwapa watoto wao huduma za msingi....(Bila tafsiri)Hariri
mahudhurio ya wananchi yatakua mazuri zaidi endapo tutawafuata kwenye kata zao na si kuwakusanya sehemu moja – management iangalie uwezekano wa kufanya ipg meeting kwa kila kijiji na si kwa kila kata kama ilivyo kwa sasa ili kuwapa wananchi nafasi ya kuelezea mawazo yao kutoka katika bijiji vyao na si kwenda katani(Bila tafsiri)Hariri
-Idadi kubwa ya watoto wenye huitaji mkumbwa wamisaada – -baadhi ya watoto hawaja pelekwa shule na wamezidi umri wa kwenda shule.(Bila tafsiri)Hariri
watoto wanaupunfufu mkubwa wa mahitaji yao ya msingi – wananchi washirikishwe kikamilifu katika suala zima la kuwahudumia watoto – walezi wanao wahudumia watoto wakipewa mitaji wanaweza kupata pesa ya kujikimu wao pamoja na watoto wao – upunfufu wa mahitaji ya msingi ya watoto – walezi wanao wahudumia watoto wakipewa mitaji wanaweza kuendesha maisha yao wenyewe bila kuendelea kutegemea misaada – walezi...(Bila tafsiri)Hariri
kutokana na jiographia ya wilaya yetu ya sikonge baadhi ya kata vijiji vyake vipo mbalimbali sana kwahiyo si rahisi wananchi kukutana kwenye kata moja. mfano kijiji cha matagata kipo mbali sana, – ipg meeting ifanyike kwa kila kijiji ili kuweza kutoa nafasi ya watu kutoa maoni yao wakiwa katika vijiji vyao(Bila tafsiri)Hariri
vijiji vingi vipo mbalimbali.. hii imesababisha watu wengi kushindwa kukutana katika eneo moja kutokana na umbali wa maeneo husika – d)ratiba ifanyiwe marekebisho kwani kutokana na umbali wa maeneo watu wengi wamekuwa wanachelewa kufika katika mhutano...hii inasababisha mkutano kuchelewa kuanza pia kuchelewa kwa shughuli nyingine – h)jamii imeelewa malengo ya mradi wa pamoja tuwalee pia imeahidi kutoa ushirikiano katika kipindi chote cha utekelezaji wa mradi ...(Bila tafsiri)Hariri
idadi ya mahudhurio haikua nzuri – maafisa watendaji waendelee kuwashawishi wananchi wao wahudhurie mikutano ili waweze kuchangia mawazo yao – watu hawapendelei mikutano kwa sababu wanaona inawapotezea muda wao wa kufanya shughuli zao nyingine za kuwaletea kipato – elimu zaidi itolewe kwa wananchi ili watambue umuhimu wa kuhudhuria mikutano – mahudhurio mabaya – waTU WANAJALI SHUGHULIZAO BINAFSI ZA KUWAINFIZIA KIPATO NA SI KUPOTEZA...(Bila tafsiri)Hariri
kushawishi na kuihamasisha jamii kuhusu ushiriki wao katika mradi wa pamoja tuwalee – wananchi bado wanauelewa mdogo kuhusiana na mradi wa pamoja tuwalee, wao wanadhani ni jukumu letu sisi maafisa kuwaleawwkmh – elimu zaidi iendelee kutolewa ili watambue kuwa ni jukumu letu wote kuwalea kama mradi wenyewe unavyo jieleza. – wananchi hawapo serious katika kutambua majukumu yao ya kuwalea na kuwahudumia watoto waishio katika mazinfira hatarishi ...(Bila tafsiri)Hariri