Envaya

/temoa/news: Kiswahili

AsiliKiswahili
The organization is happy to tell the public that it is in its last steps to prepare an accademic champions in this year. we will have a stiff academic competition in kyela diatrict. we are working on budgetary issues to implement the project. we will need your support. thanks and keep in touch. By Bageni, The chairman(Bila tafsiri)Hariri
Ongezeko la idadi ya shule katka jamii linapaswa kwenda sambamba na ongezeko la ubora wa huduma kwa watoto. Ukubwa wa tatizo la waalimu linaweza kukwamisha kwa kiasi kikubwa ufanisi wa sera na mipango ya maendeleo ya kielimu. Tunashauri serikali iboreshe mazingira ya walimu kwa kuwapatia makazi na huduma za kijamii ktk maeneo ya shule wanazopangiwa ili waweze kubaki vituoni. Kwa mtazamo wetu, chanzo cha uhaba wa walimu wa sayansi ni mazingira mabovu ktk shule za serikali kwani ktk shule za...(Bila tafsiri)Hariri
Departments(Bila tafsiri)Hariri
AJIRA MPYA KWA WALIMU 2015: – A: Orodha ya Walimu na Mafundi Sanifu Maabara Ajira Mpya – Ofisi ya Waziri Mkuu - TAMISEMI inatangaza ajira ya wahitimu wa mafunzo ya ualimu na mafundi sanifu maabara katika mamlaka ya Serikali za Mitaa kama ifuatavyo:- i. walimu wa cheti (Daraja IIIA) kwa...(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Mr. Festo Moses M. katibu mkuu wa shirika call: 0755711650(Bila tafsiri)Hariri
(image) Kyela hatarini kwa mafuriko tena: – Kufuatia mvua kubwa zinazoendelea kunyesha wilayani Kyela mkoani Mbeya. kuna taarifa kuwa maji yameshaanza kuingia kwenye kaya za watu. – Inasemekana kuwa baadhi ya wakazi wa maeneo hayo wameshaanza kukimbia makazi yao kuelekea sehemu za mwinuko ili kunusuru maisha na kuokoa mali zao......(Bila tafsiri)Hariri
we recognize the significances of education and this serve as our motivation to motivate and promote education in Tanzania rural areas. Most children are vulnerable of ignorance because of massive drop outs in rural primary and secondary schools. we want to motivate these children, we want to raise their awareness, we want to educate them, we want to support them, we want to encourage their way to success and finally challenge them so that they can feel the ownership of the knowledge. The KYELA...(Bila tafsiri)Hariri
Kilimo ndio uti wa mgongo wa Tanzania wote waishio vijijini na ndio chanzo kikuu cha kipato kinachotumika kusomesha watoto wao. Ili kujihakikishia kuwa kila mtoto anapata haki ya kupata elimu ni muhimu kuwahakikishia wakulima kilimo chenye tija na masoko ya uhakika. Kuongeza wataalamu vijijini na kuwaelimisha wakulima namna bora ya kulima kama biashara ili waone manufaa ya kilimo. Lakini haya hatutayafikia kwa Jembe la mkono katu. Jembe la mkono ni mate so na haliwavutii vijana kujiingiza...(Bila tafsiri)Hariri
TEMOA inawatakia waislam wote sikukuu njema ya eid na mwenyezi mungu awajaze rehema na upendo daima. Ujumbe: Mpatie mtoto elimu bora ili amjue mwenyezi mungu kwa haki na kweli. Elimu ni chanzo cha maarifa.(Bila tafsiri)Hariri
AJIRA MPYA KWA WALIMU 2015: – A: Orodha ya Walimu na Mafundi Sanifu Maabara Ajira Mpya – Ofisi ya Waziri Mkuu - TAMISEMI inatangaza ajira ya wahitimu wa mafunzo ya ualimu na mafundi sanifu maabara katika mamlaka ya Serikali za Mitaa kama ifuatavyo:- i. walimu wa cheti (Daraja IIIA) kwa...(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Afisa utumishi na fedha wa temoa(Bila tafsiri)Hariri