Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
wazee mliopo bungeni wazee wenzenu wa vijijini wanawategemea katika kupigania haki zao ,wazee wamefanya mengi katika kujenga taifa mifano ipo wazi,wamejanga miundombinu kama reli ,mashule,pia amani na mshikamano uliopob ni matunda ya wazee |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe