Envaya
/hakielimu/news
: Kinyarwanda
Base
Kinyarwanda
Jamii yetu wa watanzania inapenda sifa za kitaaluma mfano anataka aitwe dr fulani fulani #bajetielimu
(Not translated)
Hindura
Kigezo cha tatu katika kupima ubora wa elimu ni mitihani ya taifa na matokeo ya mitihani ya taifa- Dr.Kitila Mkumbo #bajetielimu
(Not translated)
Hindura
#bajetielimu ni muhimu kuangalia katika bajeti hii tumeelekeza kiasi gani kumuongezea mwalimu ujuzi
(Not translated)
Hindura
#bajetielimu fedha za PEDP, SEDP nyingi zimeenda kwenye majengo, vitabu n.k. walimu je?
(Not translated)
Hindura
Mwaka huu tunataka waziri wa elimu atuambie ni kiasi gani kinaenda katika kuboresha au zinagusa walimu moja kwa moja #bajetielimu
(Not translated)
Hindura
Na pesa nyingi zinaenda kwenye majengo na vitu vinavyonunulika kwa sababu huko ndiko kuna 10 percent kwa sababu ukimuongeza mwalimu mshahara
(Not translated)
Hindura
Unapochezea mfumo wa elimu unaliandalia taifa kifo na sisi tunaliandalia taifa kifo- Dr Kitila Mkumbo
(Not translated)
Hindura
#bajetielimu elimu ni walimu. hakuna elimu bila walimu
(Not translated)
Hindura
Tafiti zinaonyesha kuwa taifa letu ni la jamii isiyopenda kujifunza jiulize toka mwaka uanze umesoma vitabu vingapi #bajetiyaelimu
(Not translated)
Hindura
Hata uwe na majengo kama ya NSSF katika shule zote nchini kama walimu hawana utayari basi hakuna elimu yoyote inayotolewa #bajetielimu
(Not translated)
Hindura