Fungua

/hakielimu/news: Kiswahili

AsiliKiswahili
Jamii yetu wa watanzania inapenda sifa za kitaaluma mfano anataka aitwe dr fulani fulani #bajetielimu(Bila tafsiri)Hariri
Kigezo cha tatu katika kupima ubora wa elimu ni mitihani ya taifa na matokeo ya mitihani ya taifa- Dr.Kitila Mkumbo #bajetielimu(Bila tafsiri)Hariri
#bajetielimu ni muhimu kuangalia katika bajeti hii tumeelekeza kiasi gani kumuongezea mwalimu ujuzi(Bila tafsiri)Hariri
#bajetielimu fedha za PEDP, SEDP nyingi zimeenda kwenye majengo, vitabu n.k. walimu je?(Bila tafsiri)Hariri
Mwaka huu tunataka waziri wa elimu atuambie ni kiasi gani kinaenda katika kuboresha au zinagusa walimu moja kwa moja #bajetielimu(Bila tafsiri)Hariri
Na pesa nyingi zinaenda kwenye majengo na vitu vinavyonunulika kwa sababu huko ndiko kuna 10 percent kwa sababu ukimuongeza mwalimu mshahara(Bila tafsiri)Hariri
Unapochezea mfumo wa elimu unaliandalia taifa kifo na sisi tunaliandalia taifa kifo- Dr Kitila Mkumbo(Bila tafsiri)Hariri
#bajetielimu elimu ni walimu. hakuna elimu bila walimu(Bila tafsiri)Hariri
Tafiti zinaonyesha kuwa taifa letu ni la jamii isiyopenda kujifunza jiulize toka mwaka uanze umesoma vitabu vingapi #bajetiyaelimu(Bila tafsiri)Hariri
Hata uwe na majengo kama ya NSSF katika shule zote nchini kama walimu hawana utayari basi hakuna elimu yoyote inayotolewa #bajetielimu(Bila tafsiri)Hariri