Base (Igiswayire) | Kinyarwanda |
---|---|
Ninatumia Tecno L9 Plus, ninashindwa kuregister, kila nikiregister inaniambia invalid input katika sehemu email address, fanya ucheck inashida gani, Ila hongera kwa kurelaunch application hiyo wani itasaidia kukutanisha wanunuzi na wakulima na wakulima kufaidika kwa kazi zao pasipo kupitia kwa madalali wanyonyao haki za wakulima. Nimeshindwa pia kuandika review yangu kwa app yenu ndo maana nikaona ni vyema niwafuate huku kwa tovuti yenu, Msaada kwa hili. Pia, jitahidini kutumia lugha fasaha iliyokamiilika pale mchaguzi anapochagua lugha fulani, kwa mfani, sitegemei kuona lugha ya kiingereza katika chaguzi la lugha ya kiswahili au vinginevyo. Kwa msaada juu ya tafsiri mnaweza wasiliana nami buuure kwa maendeleo ya wakulima wa jumuiya ya Afrika ya mashariki |
(Not translated) |
Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe