Envaya

/TYNF/news: Kiswahili

AsiliKiswahili
msaada huu wa mavazi umewanufaisha watoto waliokuwa hawana mavazi kwa kupata mavazi yanayoendana na msimu kama huu wa baridi(Bila tafsiri)Hariri
kupitia CHF cards watoto wameweza kupata huduma ya matibabu kwa urahisi,vilevile wazazi na walezi wamehamasika kuwa peleka watoto wao katika vituo vya afya kupata huduma.(Bila tafsiri)Hariri
Caretakers wamejengewa uwezo juu ya jinsi ya kuwatunza watoto kupitia kipato walichonacho kwenye makundi yao. – Kupitia worth group maisha ya caretakers yamebadilika kutokana navikundi vya biashara ndondogo ujasiriamali. – Mvc wamepata matumaini kupitia children clubs. – Familia zimepatiwa ushauri kutumia rasirimali walizonazo ili kuwapatia watoto chakula na lishe.(Bila tafsiri)Hariri
explanation of deviation from work planmaelezo ya kupotoka kutoka mpango wa kaziHariri
CHF card zimetolewa 400 kwa kaya 400 wakati wa utekelezaji wa mradi wa jali watoto,kila card 1 inahudumia watoto 4 katika kaya – -masaada wa kadi za matibabu umeendelea kuwa saidia watoto wengi kwa upande wa matibabu pia imeraisisha upatikanaji wa huduma wakati (pindi) watoto wanapo itajihuduma za kiafya(Bila tafsiri)Hariri
i – Please note that activities that were not completed in the last reporting period have to be carried forward to next work plan unless there are justifiable reasons for dropping them out) – 1 – Objective1: Increase community ownership and capacity to implement...i – Tafadhali kumbuka kuwa shughuli ambazo walikuwa si kukamilika katika kipindi cha mwisho kuwa na taarifa na kufanyika mbele na mpango wa pili kazi isipokuwa kama kuna sababu inakubalika kwa kuacha yao nje) – 1 – Objective1: Kuongezeka jamii umiliki na uwezo wa kutekeleza...Hariri
mashirika na wadau wengine kama winlock wametoa misaada kwa watoto kama vile nguo za shule na vifaa vya shule – -msaada huu kutoka kwa wadau wengine umewanufaisha watoto ambao walikuwa wanashindwa kwenda shule kwa kukosa nguo za shule na vifaa vya shule(Bila tafsiri)Hariri
strengthen the capacity of district outhorites and MVCC to manage the mvc program in their district and or community – -repicate effective mult-secretorial coordination structures that effectively include public/private partnerships at district and village levels, with representative engaged from all key stakeholders (children,community groups, servise providers, local goverment and private sector)kuimarisha uwezo wa wilaya na outhorites MVCC kusimamia mpango MVC katika wilaya zao na au jamii – -Repicate miundo ya uratibu na ufanisi mult-secretorial kwamba ufanisi ni pamoja na umma / binafsi ushirikiano katika ngazi ya wilaya na vijiji, na mwakilishi wa kushiriki kutoka kwa wadau wote muhimu (watoto, vikundi vya jamii, servise watoa huduma, goverment mitaa na sekta binafsi)Hariri
baadhi ya MVCCs hawana elimu ya kusoma wala kuandika hali iliyopelekea kushindwa kutoa takwimu sahihi za MVCs.(Bila tafsiri)Hariri
suppotive mentorship visits – wrte the way you conducted and the community percepton.suppotive mentorship ziara – wrte njia uliofanywa na percepton jamii.Hariri