Envaya

/Brightlight/news: Kiswahili

AsiliKiswahili
(image) – Network programer of Bright Light Organization miss Bibiana Marco on her pose after a heavy task she was assigned to do.(image) – Mtandao programer ya Bright Light Shirika miss ya Bibiana Marco juu yake pose baada ya kazi nzito yeye alipewa kufanya.Hariri
(image)(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Afisa mshauri wa asasi ya Bright Light akiwa katika zoezi la kuandika majina ya watoto yatima.(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Mkurugenzi mtendaji wa asasi ya Bright Light akitoa maelezo ya kina kwa wanafunzi wa shule ya msingi Mkoani jinsi ambavyo asasi ilivyodhamiria kuwajengea uwezo watu wenye kada mbalimbali wakiwamo watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi.(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Mkurugenzi mtendaji wa asasi ya Bight Light Mathew Daniel akitoa maelezo mafupi kuhusiana na mradi wa JENGA UWEZO kwa Mwl. Mkuu Msaidizi wa Shule ya Msingi Mkoani.(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Mwalimu wa zamu (kushoto), mkurugenzi mtendaji (katikati) na afisa mshauri (kulia) wa asasi ya Bright Light wakiwa katika zoezi la kubaini watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi katika shule ya msingi Mkoani hapa Geita.(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Mkurugenzi mtendaji Mathew Daniel (kushoto) na Afisa mshauri Kim Adiel (kulia) wa asasi ya Bright Light wakiwa katika ofisi ya mwalimu mkuu wa S/Msingi Mkoani hapa Geita wakati wa kubaini watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi shuleni hapo.(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Afisa mshauri Kim Adiel (kulia) wa asasi ya Bright Light akielezea makundi ya watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi yatakayosaidiwa.(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Afisa mshauri wa asasi ya Bright Light akielezea makundi ya watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi ambao watasaidiwa.(Bila tafsiri)Hariri
(image)(Bila tafsiri)Hariri