Fungua

/Brightlight/news: Kiswahili

AsiliKiswahili
(image) – Baadhi ya volunteers kutoka nchini Ureno wanaojitolea katika asasi ya Brightlight Organization kwa upande wa haki za mtoto wa kike hapa mkoani Geita.(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Mkurugenzi mtendaji wa Brightlight Organization ndugu Mathew Daniel kulia akiwa katika picha ya pamoja na baathi ya wajumbe kutoka katika asasi mbalimbali mkoani Geita .(Bila tafsiri)Hariri
(image)(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Timu ya watafiti kutoka vyuo vya maendeleo ya kijamii nchini Tazania wakiwa katika kalakana ya (BRIGHTLIGHT WORKSHOP) inayotumika kutoa mafunzo ya bure kwa vijana mkoani Geita.(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Mwl.Jenifrida Joas akiwa na watoto katika kituo cha Brightlight Organization akitoa elimu ya kisaiklojia kuhusiana na watoto wadogo.(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Fundi mchundo wa Brightlight Organization ndugu Lameck akielezea jinsi Brightlight Organization ilivyosaidia vijana kuwapa mafunzo ya bure na kuachana na utumiaji wa madawa ya kulevya mkoani Geita.(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Watumishi wa asasi ya BrightlightOrganization wakijadili namna ya kubaini vyazo asilia vya maji moani Geita mwaka 2014.(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Mkurugenzi mtendaji ndugu Mathew Daniel akitoa ushauri kutokana na kuboresha mtandao wa mkoa (GERENGONET)yaani Geita Regional NGOS network katika ukumbi wa Halmashauri ya mji wa Geita.(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Mwl.mkuu ndugu David Ocheng akifuatilia kwa umakini watoto wakati wa mapumziko kituoni Brightlight Organization.(Bila tafsiri)Hariri
(image) – mkurugenzi mtendaji wa asasi ya Brightlight Organization wa tatu kutoka kushoto ndugu Mathew Daniel akiwa na timu ya watafiti kutoka katika vyuo mbalimbali vya maendeleo ya kijamii nchini Tanzania.(Bila tafsiri)Hariri