Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
Tuna matamanio makubwa ya kuwapata kuku bora wa kienyeji ili kuwafuga kwa njia za kisasa ili kujiongezea kipato na pia kuboresha ulaji na lishe.Tunaomba kujua kwa mapana kuhusu juu ya swala hili toka kwa yeyote mjuzi kupitia majadiliano haya ya kimtandao. |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe