Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/ULIDINGO/post/116239
: Kiswahili
1
2
3
Ifuatayo »
Asili
Kiswahili
Nimefurahishwa sana kuona mambo mazuri na ya kiamendeleo yanayofanywa na LIDINGO. Nimezaliwa na kukulia Liwale lakini miaka hiyo wilaya ilikuwa haijulikani kama leo ambapo ninayaona yanayotendeka huko, nikiwa mbali sana nanyi. – Nikupongezeni nyote, hususan Mratibu wa umoja huu Ndg Ligai kwa kutuma taarifa hii duniani kote: – Ninawatakieni kazi njema, nitakuwa ninatembelea thread hii mara kwa mara. – TUPO PAMOJA
(Bila tafsiri)
Hariri
(hidden)
(hidden)
(hidden)
(hidden)
(hidden)
(hidden)
(hidden)
(hidden)
(hidden)
(hidden)
(hidden)
Add a comment
Ongeza maoni
Hariri
Your email:
Email yako:
Hariri
Your email address will not be published.
Anwani yako ya email haitachapishwa.
Hariri
1
2
3
Ifuatayo »