About
Explore
Search
Volunteer
Updates
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Log in
/ldf/topic/22707
: English
Base
English
Wazee wawajibike. Kukosa maadili kwa vijana kunatokana na kutowajibika kwa wazee. Hao vijana wa zamani ambao walikua na maadili mema ni kutokana athari ya maadili mazuri ya wazee wao. – Mfano vijana wanaovaa vibaya na kwenda nusu uchu hawakii mapangoni wanaishi majumbani pamoja na wazee wao. Jee wazee hawayaoni hayo. Mtoto wako anapokuaga kwamba anakwenda disco usiku nakurudi saa nane au tisa usiku nawe ukamngojea kumfungulia mlango jee ni nani aliyekosa maadili ni kijana au...
Elders accountable. Lack of ethics for young people due to unreliability in the elderly. Those young people who grow old with good moral values is due to positive effects of their elders. – Teens who wear the wrong example and passion do not go half Kii caves they lived in homes with their elders. Are the elderly not yaoni it. Pokuaga that your child is going to disco night and returned at eight or nine at night you can wait to release the door Who Have error code is...
Edit
VIONGOZI NDIO WALIOTAKA VIJANA WAAPOTOKE KIMAADILI. FIKIRIA KILA KIONGOZI KWA NINI ANJIHALALISHIA KUNUNUA ARDHI NA BAADAE AMA KUIUZA KWA WAWEKEZAJI AU/NA KUJENGWA HOTELI ZA KITALII.....NA UFUSKA UNAOFANYIKA HUMO MH! USO HUWEZI KUFUNUA KAMA UTAONESHWA. KWA JAMII NAO KUWAPENDA WATOTO NA VIJANA WAO KIASI CHA KUWANUNULIA SIMU ZENYE MTANDAO HUKU WAKITAZAMA PICHA CHAFU WAELEWE WANAWAPOTOSHA KIMAADILI. HEE WAZAZI HATA WATOTO WAKIKATAZWA KUTOCHUKUA SIMU SHULE MNAGOMBA....MAPENZI GANI HAYO? ...
YES YOUTH LEADERS WALIOTAKA WAAPOTOKE ETHICAL. THINK OF WHAT EVERY LEADER AND LATER ANJIHALALISHIA AMA BUY LAND FOR INVESTORS OR sell / and built hotels TOURISM AND UFUSKA UNAOFANYIKA country ..... MH! YOU CAN NOT FACE unfolds as UTAONESHWA. SOCIETY FOR CHILDREN AND ADOLESCENTS to love the amount of KUWANUNULIA THEIR PHONE NETWORK least with regard to understand WANAWAPOTOSHA ETHICAL IMAGES DEAD. Hee PARENTS EVEN CHILDREN WAKIKATAZWA not possessive MNAGOMBA SCHOOL PHONE .... WHAT WILL it?...
Edit
Vijana wengi wa Zanzibar wanakosa maadili mema, kabla ya hapo vijana walikuwa na maadili mazuri – Je? kifanyike nini
Many young people of Zanzibar are missing values, before there were young and good values – What? What can be done
Edit
kutokana na utandawazi uliopo sasa umekuja na vijana ndio walio upokea kwa kasi zaidi na kujikuta vijana wanafahamu mambo mengi zaidi kuliko wazee misemo na maneno yale ya kificho yaliokuwa yakitumika zamani kuwakanyia wa watoto sasa uwezi tena kumwambia mtoto akakuelawa au kina kwa mfano zamani kijana wa miaka kumi na nane ajui kuhusu maswala ya ngono wakati mwengine mpaka anaoa lakini ajui umo ndani afanye nini lakini sasa hivi mtoto wa mika mnne tayari anajua hata staili mbalmbali za...
due to globalization, the present has come up with the young ones who receive faster and find young people know much more than the old phrases and words that the code yaliokuwa practiced for the past kuwakanyia the children now can no longer tell the child he kuelawa or depth for example old boy of ten years and eight ajui about sexual orientation but sometimes until marries ajui do what is within, but now the child already knows four mika even mbalmbali style of having sex with my brother...
Edit
Asante sana Haji Mwadini kutoka Zanzibar kwa majibu yako mazuri lakini utakubaliana na mimi kuwa kila mtu ana haki ya kufanya biashara yeyote lakini bila kuvunja sheria ya Nchi. kununua na kuuza Ardhi ni haki ya kila raia bila kujali kiongozi au mtu binafsi na kuhusu kujengwa Hoteli za kitalii sio tatizo sababu ni moja ya maendeleo swala la kutumia simu za gharama kwa wanafunzi wa shule hilo lipo wazi kuwa hapaswi kutumia simu wakati wa akiwa shuleni lakini hukumbuke kuwa sasa shule...
Thank you Haji Adin from Zanzibar for your good answers but you will agree with me that everyone has the right to make any business but without breaking the laws of the State. Buying and selling land is a right of every citizen regardless of the leader or the individual and the built hotel of tourist is not a problem because it is one of the development the subject of using mobile phone costs for students it is clear that it should not use the phone when at school but mbuke not be many...
Edit
vijana wa zanzibar wakosa maadili
zanzibar youth moral
Edit