Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/takuuki/news
: Kiswahili
1
2
Ifuatayo »
Asili
Kiswahili
Wafuatao ni viongozi wa Taasisi ya Kupambana na Ukimwi Kitangari. – Abdallah M.Teja Mw/Kiti 0784190856 – Mohamedi R.Ngozi Makamu Mw/Kiti 0784864061 – Ng'onye S.John Mkurugenzi 0784224885 – Veronica L.Maluchila Mtunza hazina 0787633530 ...
(Bila tafsiri)
Hariri
Kikao cha viongozi wa Asasi kwa ajili ya kuwaandaa washiriki kimefanyika tarehe 12/2/2011. Katika picha ni viongozi wa Kata ya Malatu na Mchemo. Viongozi hao walikuwa wanasikiliza maelekezo ya sifa za kuteua washiriki. – (image) – Katika picha Makamu Mwenyekiti Ndugu Mohamedi R Ngozi aliyesimama katika picha alifungua kikao cha viongozi wa serikali na kuwasisitiza umakini na...
(Bila tafsiri)
Hariri
MKURUGENZI WA TAASISI YA KUPAMBANA NA UKIMWI KITANGARI NDG. SAIDI NG'ONYE JOHN ni msimamizi mkuu wa Mradi wa UNASIHI NA UPIMAJI HIARI WA VIRUSI VYA UKIMWI. Hapa kuna Taarifa ya Utekelezaji ya Robo mwaka iliyopita ya Miezi ya Januari hadi Machi kwa Kata za Malatu na Mchemo Wilaya ya Newala. – Taarifa inayotolewa ni kwa Muundo wa The Foundation For Civil Society. – (document)
(Bila tafsiri)
Hariri
TAARIFA YA FEDHA YA MRADI WA UNASIHI NA UPIMAJI HIARI WA VIRUSI VYA UKIMWI KATA ZA MALATU NA MCHEMO Wilayani Newala imeandaliwa na Mtunza Hazina wa Asasi ya TAKUUKI Ndg. Veronica Maluchila. – Taarifa ni kwa Muundo wa The Foundation For Civil Society. – (document)
(Bila tafsiri)
Hariri
KIKAO cha Kikundi cha Waishio na Vrusi vya UKIMWI na Mkurugenzi wa Taasisi ya kupambana na UKIMWI Kitangari chaleta changamoto. – Kikao hicho kilichofanyika tarehe 20 Agosti,2010 katika ukumbi wa kituo cha Afya Kitangari chini ya mlezi wake Ndg.Florence Mnipa, kimeeleza changamoto mbalimbali wanazokumbana nazo wana mtandao hao. – Kubwa kabisa ni pale walipomwelekeza Mkurugenzi wa Taasisi ya kupambana na Ukimwi Kitangari kwamba jamii...
(Bila tafsiri)
Hariri
TAASISI YA KUPAMBANA NA UKIMWI KITANGARI YAFANYA KIKAO CHA MAANDALIZI YA MRADI WA UNASIHI NA UPIMAJI WA HIARI WA VVU. – Kikao hicho kilichowahusisha viongozi wa serikali kutoka kata za Malatu na
(Bila tafsiri)
Hariri
Tarehe 21 hadi 23 Nov.2011 Asasi ta TAKUUKI imepata nafasi kushiriki Tamasha la 9 la azaki bora Tanzania ambalo limefanyika Dar es Salaam katika Hoteli ya Blue Peal.Mwakilishi wa Azaki amejionea mwenyewe jinsi asasi mbalimbali walivyoweza kuonesha kazi zao ambazo wanahudumia jamii.Mwakilishi wa asasi hiyo ambaye ni Mkurugenzi wa TAKUUKI amefurahishwa sana kujionea machapisho na vitabu mbalimbali ambavyo vina Elimu Mzuri na aina mbalimbali ya ujumbe kwa jamii.Mfano...
(Bila tafsiri)
Hariri
TAASISI YA KUPAMBANA NA UKIMWI KITANGARI IMEFANYA KIKAO CHA MAANDALIZI YA MRADI WA UNASIHI NA UPIMAJI WA HIARI WA VVU. – Kikao hicho kilichowahusisha viongozi wa serikali kimefanyika tarehe 12/02/2011 Kituo cha Mchemo Lengo. – Viongozi walisisitizwa na mtaalamu kuzingatia kufanya uteuzi kwa makini bila kuelemea upande mmoja. ...
(Bila tafsiri)
Hariri
Comments
Maoni
Hariri
January
Januari
Hariri
November
Novemba
Hariri
February
Februari
Hariri
June
Juni
Hariri
August
Agosti
Hariri
{month} {day}, {year}
{day} {month}, {year}
Hariri
1
2
Ifuatayo »