Envaya

/elimishatz/news: English

BaseEnglish
(image) – Hizo ngoma ndogo nne zinaitwa Tumba au pelekete kwa kwa lugha ya asili ya jamii ya wanayakyusa, kwa ujumal mchezo huo unaitwa SAMBA, huchezwa kwa wakati maalum.(image) – These four little dance called Tumba or pelekete for natural language communities are yakyusa for ujumal game called Samba, is played by a specific time.Edit
(image) ...(Not translated)Edit
(image) – Acha kushangaa watu muda umetutupa endesha tuwahi shule(image) – Let people wonder tuwahi driving time is running out of schoolEdit
(image) – Hili ni moja la bwawa lililoko katika mashamba ya Mpunga Mbarali ambalo linapoteza maji na kusababisha yasifike bwawa la Mtera kwa ajili ya umeme, halikadharika linahatarisha maisha ya wanayama walioko hifadhi ya Ruaha wasipate maji.(image) – This is one of the pool that lies in the rice fields which linapoteza Mbarali water and cause yasifike Mtera dam for electricity, not likadharika jeopardizes the lives of the animals were in the Ruaha park from getting water.Edit
Shirika la ELIMISHA linatoa kipaumbele katika kuhamasisha michezo ya watoto kwa ajili ya kuibua na kukuza vipaji, ingawa maeneo mengi ya vijijini ambako mashirika mengi hayafiki kunachangamoto nyingi kama unavyoona watoto hawa wakiwa wamekosa vifaa muhimu vya michezo. (image)Educate Agency provides priority in promoting sports for children to explore and develop talents, though many rural areas where many organizations do not reach many kunachangamoto as you can see these children having missed important sports facilities. (image)Edit
(image) – Baadhi ya vijiji vinahitaji elimu zaidi, ikiwemo ya kuhamasisha usafi wa mazingira ili kuepuka kujisaidia vichakani na kutupa taka hovyo ambazo zinaweza kuleta magonjwa ya mlipuko.(image) – Some villages require more education, including promoting sanitation to avoid defecating in bushes and litter that may result in uselessly epidemiologist.Edit
(image) – ELIMISHA inalenga kuwajengea uwezo na kwawezesha wanawake, wanawake hawa licha ya kuwa wazee lakini wameachiwa jukumu la kulea baadhi ya wajukuu zao ambayo ni yatima.(image) – Educate focuses on capacity building and kwawezesha women, these women despite being older, but have left the responsibility of raising their grandchildren, some of which are orphans.Edit
(image) – Hii ni mifereji ya kuzibia maji ili yasiende katika mto Ruaha na kusababisha Mtera ipungue maji, na hii ni moja ya kazi za ELIMISHA katika kuibua uharibifu wa mazingira na vyanzo vya maji.(image) – This is the drainage of water close up to yasiende in Ruaha river and cause Mtera ipungue water, and this one is working to educate the visually damage the environment and water sources.Edit
(image) – ELIMISHA inaendelea kupigania utamaduni wa asili wa Mtazania kama vile ngoma za asili, hi ni moja ya ngoma za jamii ya wanyakyusa , inaitwa ING'OMA.(image) – Educate continues to fight for indigenous culture Mtazania such as traditional dance, hi is one of the dance community wanyakyusa, called ING'OMA.Edit
(image) – Haya twende kazi tucheze pamoja, tudumishe utamaduni wetu wa asili ili kulinda maadili, ngoma hi inaitwa ING'OMA ni ya jamii ya Wanyakyusa...shirika la ELIMISHA linaendelea kuhamasisha utamaduni huo.(image) – Let's go tucheze work together, tudumishe our culture to protect natural values, hi drum is called ING'OMA Wanyakyusa communities ... Educate agency continues to promote that culture.Edit
CommentsI recentlhttps://geeksquad-appointment.us/y signed up with Ovation credit repair services and I am already SO happy that I did! They are working hard and have already made a positive impact on my credit report. They helped remove negative items from my credit report that shouldn't have been there. This directly caused an increase in my credit score.They were easy to talk to,VERY friendly and easy to understand, and in a country full of terrible customer service, Ovation credit repair customer...Edit
{date} via {feed}{date} via {feed}Edit
AugustAugustEdit
SeptemberSeptemberEdit
{month} {day}, {year}{month} {day}, {year}Edit