Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/Tawa/news
: Kiswahili
1
2
Ifuatayo »
Asili
Kiswahili
(image)
(Bila tafsiri)
Hariri
Interview 10 – 1.Unaishi sehemu gani?! – Keko mwanga 'A' – 2.Mtaa wako unahitaji kitu gani sana sana?! – Kuboresha miundo mbinu,mfano mfereji mkubwa kupanuliwa,mifereji midogo midogo ijengwe itakayotiririsha maji kwenye mfereji mkubwa. – 3.Mafuriko yameleta athari gani kwenye nyumba unayoishi na vitu vyako?! – Vitu vyote vya ndani vimeharibika. Nyumba imebomoka...
(Bila tafsiri)
Hariri
Interview 8 – 1.Unaishi eneo gani?! – Magulumbasi 'B' – 2.Mtaa wako unahitaji kitu gani sana sana?! – Nyumba zilizoharibika watusaidie kuzirekebisha. Tupewe eneo maalumu la kuweka taka zinazoziba mifereji. Kuta zinazoziba njia ya maji zibomolewe. 3.Mafuriko yameleta athari gani kwenye nyumba unayoishi nna vitu vyako?! – Vitu vyangu vyote vya ndani vimepotea. ...
(Bila tafsiri)
Hariri
Interview 7 – 1.Unaishi eneo gani?! – Magulumbasi 'B' – 2.Mtaa wako unahitaji kitu gani sana sana?! – Mfereji mkubwa unaotoka barabara kubwa ya Nyerere mpaka bahari ya hindi utengenezwe ili kuruhusu maji kupita wa urahisi. Kivunjwe kiwanda cha mwenye kampuni ya Ruby kilichojengwa sehemu iliyoziba mfereji wa maji. Kuzibitiwe taka kwa kuwekwa sehemu maalamu ya kutupwa taka. 3.Mafuriko yameleta...
(Bila tafsiri)
Hariri
Interview 6 – 1.Unaishi eneo gani?! – Keko mwanga 'B'South – 2.Mtaa wako unahitaji kitu gani sana sana?! – Nahitaji mifereji iboreshwe kwa kutanuliwa. Kubomolewa nyumba zilizojengwa bila mpangilio. Kujengwe makaravati yatayowezesha maji kupita kwa urahisi. 3.Mafuriko yameleta athari gani kwenye nyumba unayoishi na vitu vyako?! – Ukuta wa nyumba ulibomoka,vitu vya...
(Bila tafsiri)
Hariri
Interview 9 – 1.Unaishi eneo gani?! – Keko magulumbasi 'A' – 2.Mtaa wako unahitaji kitu gani sana sana?! – Sehemu maalumu ya kuweka taka ili uchafu usizibe mifereji ya maji Kujengwe mifereji midogo midogo itakayowezesha kupitisha maji nyumba hadi nyumba. 3.Mafuriko yameleta athari gani kwenye nyumba unayoishi na vitu vyako?! – Nimepoteza vifaa vyangu vya kazi kwa maji,nilikua...
(Bila tafsiri)
Hariri
(image)
(Bila tafsiri)
Hariri
(image)
(Bila tafsiri)
Hariri
(hidden)
(hidden)
(hidden)
(hidden)
(hidden)
(hidden)
(hidden)
1
2
Ifuatayo »