Injira

/elimishatz/news: Kinyarwanda

BaseKinyarwanda
(image)(Not translated)Hindura
(image) – Shirika la ELIMISHA pia linajihusisha na uhifadhi wa mazingira na rasilimali za maji.(Not translated)Hindura
(image) – Ofisi ya shirika la ELIMISHA ipo Barabara ya Sbasaba eneo la Ujenzi jijini Mbeya S.L.P 220 Mbeya Tanzania E-mail: elimishatz@yahoo.com info@elimishatz.org Website:www.elimishatz.org Cell: +255 (0) 754 350 377(Not translated)Hindura
ELIMISHA – NON GOVERNMENTAL ORGANIZATION – P.O. Box 220, Mbeya Tanzania. – Web: www.elimishatz.org – Email: elimishatz@yahoo.com – Cell: +255 754 350 377 – Fiscal address: – Sabasaba Road. – Ujenzi area Mbeya City....(Not translated)Hindura
Tutatumia Elimisha kuokoa jamii – Makala Maalum Makala hii imeandikwa na Joachim Nyambo, Mbeya. – MWANAHABARI yeyote ni tegemeo kubwa...(Not translated)Hindura
(image) – Hili ni moja la bwawa lililoko katika mashamba ya Mpunga Mbarali ambalo linapoteza maji na kusababisha yasifike bwawa la Mtera kwa ajili ya umeme, halikadharika linahatarisha maisha ya wanayama walioko hifadhi ya Ruaha wasipate maji.(Not translated)Hindura
Shirika la ELIMISHA linatoa kipaumbele katika kuhamasisha michezo ya watoto kwa ajili ya kuibua na kukuza vipaji, ingawa maeneo mengi ya vijijini ambako mashirika mengi hayafiki kunachangamoto nyingi kama unavyoona watoto hawa wakiwa wamekosa vifaa muhimu vya michezo. (image)(Not translated)Hindura
(image) – ELIMISHA inalenga kuwajengea uwezo na kwawezesha wanawake, wanawake hawa licha ya kuwa wazee lakini wameachiwa jukumu la kulea baadhi ya wajukuu zao ambayo ni yatima.(Not translated)Hindura
(image) – Hii ni mifereji ya kuzibia maji ili yasiende katika mto Ruaha na kusababisha Mtera ipungue maji, na hii ni moja ya kazi za ELIMISHA katika kuibua uharibifu wa mazingira na vyanzo vya maji.(Not translated)Hindura
(image)(Not translated)Hindura