Envaya
/elimishatz/news
: Kinyarwanda
Base
Kinyarwanda
(image) ...
(Not translated)
Hindura
(image) – Hizo ngoma ndogo nne zinaitwa Tumba au pelekete kwa kwa lugha ya asili ya jamii ya wanayakyusa, kwa ujumal mchezo huo unaitwa SAMBA, huchezwa kwa wakati maalum.
(Not translated)
Hindura
(image) ...
(Not translated)
Hindura
(image) – Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya uibuaji wa miradi na uendeshaji wa asasi ya ELIMISHA mBEYA wakimsikiliza mwezeshaji.
(Not translated)
Hindura
(image) ...
(Not translated)
Hindura
(image) – Mwezeshaji kutoka TCCA Bw. Kunzugala, akiwafundisha wanachama wa asasi ya ELIMISHA Mbeya,katika mafunzo ya kuwajengea uwezo, ambayo yamefadhiliwa na The Foundation for Civil Society.
(Not translated)
Hindura
(image) ...
(Not translated)
Hindura
(image) – ELIMISHA inaendelea kupigania utamaduni wa asili wa Mtazania kama vile ngoma za asili, hi ni moja ya ngoma za jamii ya wanyakyusa , inaitwa ING'OMA.
(Not translated)
Hindura
(image) – Mafunzo ya kujenga uwezo wa viongozi na wanachama wa asasi ya ELIMISHA Mbeya.
(Not translated)
Hindura
(image) – Haya twende kazi tucheze pamoja, tudumishe utamaduni wetu wa asili ili kulinda maadili, ngoma hi inaitwa ING'OMA ni ya jamii ya Wanyakyusa...shirika la ELIMISHA linaendelea kuhamasisha utamaduni huo.
(Not translated)
Hindura