Log in

/MEECO/news: English

BaseEnglish
(image) – Vijana MEECO TALENT GROUP (MTG) wakiwa na viatu vyao baada ya mshauri wao wa kigeni Bibi Katrina Demmuling kuwasaidia fedha kidogo za kununulia vifaa vyao zikiwemo nguo na raba ambazo wanazo hapo(image) – Young Talent MEECO GROUP (MTG) with their shoes after their foreign consultant Ms Katrina Demmuling help a little money to buy their equipment and clothing including rubber, which have theEdit
(image) – Vijana wa MEECO Talent Group wakiwa wametulia baada ya kumaliza kuonesha vitu vyao vya kumuaga Mshauri wa Kigeni wa Jumuiya ya MEECO Bibi Katrina Demullang iliyofanyika katika kijiji cha Meli nne Mbarali Mkoa wa Mjini Unguja Wilaya ya Magharib(image) – MEECO Young Talent Group having been settled after completing their farewell show items Foreign Advisor Community MEECO Mrs Katrina Demullang held in the village of four ships Mbarali Unguja Urban Region District GharibEdit
(image) – Vijana wa MEECO TALENT GROUP(MTG) wakiwa katika matembezi hoteli ya Marumbi iliyoko Mkoa wa kusini Unguja wilaya ya Kati baada ya kufanya majaribio ya maonesho yao na kukubalika na Meneger wa hoteli hiyo(image) – Young Talent MEECO GROUP (MTG) in the ambient water-jug walks hotel Unguja South Region Central district after the exhibition to test them and accepted by the hotel MenegerEdit
(image) – Diwani wa Wadi ya Mwanakwerekwe Nd. Mohd Kitete akiwa na Sheha wa shehia ya Mwanakwerekwe Bw. Ameir Pandu(fulana blue)na sheha wa shehia ya Pangawe Bw. Abdallah Juma Mtumweni (fulana ya njano) wakiitikia wito wa kuhudhuria katika sherehe za kumuaga Mshauri wa Kigeni wa Jumuiya ya MEECO Bibi Katrina Demullang iliyofanyika katika kijiji cha Meli nne Mbarali Mkoa wa Mjini Unguja Wilaya ya Magharib(image) – Councillor of the Wadi Mwanakwerekwe ND. Mohd volatile with the Mwanakwerekwe shehia Sheha of Mr. Ameir Wandu (blue vest) and chief of the Pangawe shehia Mr. Abdallah Juma Mtumweni (yellow vest) their invitation to attend the farewell ceremony of the Foreign Advisor of Community MEECO Mrs Katrina Demullang held in the village of four ships Mbarali Unguja Urban Region District GharibEdit
(image) – Wanachama wa MEECO na jumuiya rafiki ya SUZA AMERICAN CORNER wakiwa katika mkutano rasmi wa sherehe ya kumuaga Mshauri wa kigeni wa jumuiya ya MEECO Bibi Katrina Demmulang iliyofanyika Meli nne Mbarali Mkoa wa Mjini Unguja wilaya ya Magharib(image) – MEECO members and friends of the clean community as AMERICAN Corner at the official farewell ceremony of the foreign advisor community MEECO Mrs Katrina Demmulang held four ships Mbarali Unguja Urban Region District GharibEdit
(image) – Msaidizi Katibu Nd. Abdallah Saleh Fatawi (aliyesimama mkabala na jembe) na Mshika fedha wa MEECO Nd.Fred Mont Kasambala wakiwa katika harakati za usafi wa mazingira(image) – Assistant Secretary-ND. Fatawi Abdallah Saleh (who is standing opposite the hoe) and keep the money they MEECO Nd.Fred Mont Kasambala in the process of sanitationEdit
(image) – Mwenyekiti wa jumuiya ya MEECO Nd. Abdallah Ali Hassan akitafakari baada ya kuitikiab mualiko wa kushiriki katika zoezi la usafishaji wa mazingira lililo andaliwa na jumuiya rafiki.(image) – Chairman of Nd MEECO community. Ali Hassan Abdallah pondering after kuitikiab invitation to participate in the process of cleaning the environment is organized and friendly community.Edit
(image) – Miongoni mwa vitendo vya ajabu vinavyooneshwa na vijana wadogo wa MEECO TALENT GROUP katika harakati za kuwakaribisha wageni kutoka shirika la Thefoundationfor civil society tarehe 4/9/2011(image) – Among the extraordinary acts of vinavyooneshwa and young MEECO TALENT GROUP in the process of inviting guests from civil society organization Thefoundationfor on 04/09/2011Edit
(image) – Viongozi na wanachama wa jumuiya ya Mwanakwerekwe Environmental Ethics and Cultural Organization MEECO) wakiwa katika harakati za usafi wa mazingira katika maeneo yaliyo wazunguka(image) – Leaders and members of the community of Mwanakwerekwe Environmental Ethics and Cultural Organization MEECO) while in pursuit of sanitation in surrounding areasEdit
(image) – Wanachama wa MEECO wakiwa na Asasi rafiki ya Suza American Corner wakiitikia wito wa kuhudhuria katika sherehe za kumuaga Mshauri wa Kigeni wa Jumuiya ya MEECO Bibi Katrina Demullang iliyofanyika katika kijiji cha Meli nne Mbarali Mkoa wa Mjini Unguja Wilaya ya Magharib(image) – Members of the Civil MEECO with American Corner friends to clean their invitation to attend the farewell ceremony of the Foreign Advisor of Community MEECO Mrs Katrina Demullang held in the village of four ships Mbarali Unguja Urban Region District GharibEdit