Base (Igiswayire) | Kinyarwanda |
---|---|
Hili ni moja la bwawa lililoko katika mashamba ya Mpunga Mbarali ambalo linapoteza maji na kusababisha yasifike bwawa la Mtera kwa ajili ya umeme, halikadharika linahatarisha maisha ya wanayama walioko hifadhi ya Ruaha wasipate maji. |
(Not translated) |
Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe