Envaya

/elimishatz/news: Kiswahili

AsiliKiswahili
(image)(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Shirika la ELIMISHA pia linajihusisha na uhifadhi wa mazingira na rasilimali za maji.(Bila tafsiri)Hariri
ELIMISHA – NON GOVERNMENTAL ORGANIZATION – P.O. Box 220, Mbeya Tanzania. – Web: www.elimishatz.org – Email: elimishatz@yahoo.com – Cell: +255 754 350 377 – Fiscal address: – Sabasaba Road. – Ujenzi area Mbeya City....ELIMISHA – Asasi isiyokuwa ya kiserikali – PO Box 220, Mbeya Tanzania. – Web: www.elimishatz.org – Email: elimishatz@yahoo.com – Cell: 255 754 350 377 – Fedha anwani: – Sabasaba Road. – Ujenzi eneo la Mbeya City....Hariri
(image) – Acha kushangaa watu muda umetutupa endesha tuwahi shule(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Hili ni moja la bwawa lililoko katika mashamba ya Mpunga Mbarali ambalo linapoteza maji na kusababisha yasifike bwawa la Mtera kwa ajili ya umeme, halikadharika linahatarisha maisha ya wanayama walioko hifadhi ya Ruaha wasipate maji.(Bila tafsiri)Hariri
Shirika la ELIMISHA linatoa kipaumbele katika kuhamasisha michezo ya watoto kwa ajili ya kuibua na kukuza vipaji, ingawa maeneo mengi ya vijijini ambako mashirika mengi hayafiki kunachangamoto nyingi kama unavyoona watoto hawa wakiwa wamekosa vifaa muhimu vya michezo. (image)(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Baadhi ya vijiji vinahitaji elimu zaidi, ikiwemo ya kuhamasisha usafi wa mazingira ili kuepuka kujisaidia vichakani na kutupa taka hovyo ambazo zinaweza kuleta magonjwa ya mlipuko.(Bila tafsiri)Hariri
(image) – ELIMISHA inalenga kuwajengea uwezo na kwawezesha wanawake, wanawake hawa licha ya kuwa wazee lakini wameachiwa jukumu la kulea baadhi ya wajukuu zao ambayo ni yatima.(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Hii ni mifereji ya kuzibia maji ili yasiende katika mto Ruaha na kusababisha Mtera ipungue maji, na hii ni moja ya kazi za ELIMISHA katika kuibua uharibifu wa mazingira na vyanzo vya maji.(Bila tafsiri)Hariri
(image)(Bila tafsiri)Hariri