About
Explore
Search
Volunteer
Updates
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Log in
/elimishatz/news
: English
Base
English
(image) ...
(Not translated)
Edit
(image) – Hizo ngoma ndogo nne zinaitwa Tumba au pelekete kwa kwa lugha ya asili ya jamii ya wanayakyusa, kwa ujumal mchezo huo unaitwa SAMBA, huchezwa kwa wakati maalum.
(image) – These four little dance called Tumba or pelekete for natural language communities are yakyusa for ujumal game called Samba, is played by a specific time.
Edit
(image) ...
(Not translated)
Edit
(image) ...
(Not translated)
Edit
(image) – Mwezeshaji kutoka TCCA Bw. Kunzugala, akiwafundisha wanachama wa asasi ya ELIMISHA Mbeya,katika mafunzo ya kuwajengea uwezo, ambayo yamefadhiliwa na The Foundation for Civil Society.
(image) – Facilitator from TCCA Mr. Kunzugala, teaching members of the organization to educate Mbeya, in capacity building training, which yamefadhiliwa and The Foundation for Civil Society.
Edit
(image) – Acha kushangaa watu muda umetutupa endesha tuwahi shule
(image) – Let people wonder tuwahi driving time is running out of school
Edit
(image) ...
(Not translated)
Edit
(image) – Baadhi ya vijiji vinahitaji elimu zaidi, ikiwemo ya kuhamasisha usafi wa mazingira ili kuepuka kujisaidia vichakani na kutupa taka hovyo ambazo zinaweza kuleta magonjwa ya mlipuko.
(image) – Some villages require more education, including promoting sanitation to avoid defecating in bushes and litter that may result in uselessly epidemiologist.
Edit
(image) – ELIMISHA inaendelea kupigania utamaduni wa asili wa Mtazania kama vile ngoma za asili, hi ni moja ya ngoma za jamii ya wanyakyusa , inaitwa ING'OMA.
(image) – Educate continues to fight for indigenous culture Mtazania such as traditional dance, hi is one of the dance community wanyakyusa, called ING'OMA.
Edit
(image) – Haya twende kazi tucheze pamoja, tudumishe utamaduni wetu wa asili ili kulinda maadili, ngoma hi inaitwa ING'OMA ni ya jamii ya Wanyakyusa...shirika la ELIMISHA linaendelea kuhamasisha utamaduni huo.
(image) – Let's go tucheze work together, tudumishe our culture to protect natural values, hi drum is called ING'OMA Wanyakyusa communities ... Educate agency continues to promote that culture.
Edit