Envaya
/kioo/news
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
(image) – Wajumbe wakisikiliza maelezo kutoka kwa mratibu wa mradi ndugu Edward ambaye hayupo pichani hapo. Huu ni wakati wa mafunzo yaliyoendeshwa na KIOO kwa ufadhiri wa The Foundation For Civil Society.
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) Mojawapo ya Darasa lililogharimiwa na mfuko wa maendeleo ya elimu ya msingi kata ya mwandiga
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – Wajumbe wa mkutano wa utambulisho wa mradi wakiwa wanamsikiliza mwezeshaji wa mafunzo hayo.
(Bila tafsiri)
Hariri
Katika kufanya ufuatiliaji wa mradi na tathimini ya ndani ya mradi ambao umefadhiriwa na The Foundation For Civili Sciety viongozi wa asasi yetu ya KIOO wakifuatilia matokeo ya mradi wa ufuatiliaji wa matumizi ya umma ikiwa ni pamoja namna wanajamii wanavyoshiriki katika kupanga mipango na namna wanavyofanya maamuzi juu ya hatima ya vijiji vyao. Katika kile ambacho hakikutazamiwa na wafuatiliaji hawa wa mradi ni kule kupatikana kwa maelezo juu ya namna...
(Bila tafsiri)
Hariri
Wananchi wa kijiji cha Nyamhoza wamemshikiria mwenyekiti wao wa kijiji kwa tuhuma za kula fedha za pemebeo za kilimo ambapo alishirikiana na kamati ya vocha ya kijiji kula fedha hizo.Aidha mtendaji wa kijiji hicho ameshatoroka na hadi sasa hajulikani aliko. Juhudi hizi zimefanyika kupitia mradi wetu wa ufuatiliaji wa matmizi ya umma. – Habari nyingine tulizozipata wakati wa ufuatiliaji na tathimini ya mradi kutoka kijiji cha Kirando mwenyekiti wa kijiji hicho amepigiwa kura ya...
(Bila tafsiri)
Hariri
(document)
(document)
Hariri