Log in

/MEECO/news: English

BaseEnglish
Hi !!!!!! today i want to talk with you concern our institution (MEECO). Among the activities we do are as follows: – Participate in world youth seminar held on 8 August and ...(Not translated)Edit
(image) – Suleiman Jeni Pandu (General Secretary) and Mwajuma Kombo Khamis A.Chair person katika ukumbi wa Salama hall Bwawani wakiwakilisha MEECO katika siku ya vijana duniani na kutajwa mshindi wa Pesa za ruzuku za mfuko wa UN-HABITAT(image) – Suleiman Genes Pandu (General Secretary) and Mwajuma Kombo Khamis A.Chair person in the theater hall of the Peace Bwawani representing MEECO in world youth day to be named the winner of the grant money to fund UN-HABITATEdit
(image) – Msaidizi Katibu Nd. Abdallah Saleh Fatawi (aliyesimama mkabala na jembe) na Mshika fedha wa MEECO Nd.Fred Mont Kasambala wakiwa katika harakati za usafi wa mazingira(image) – Assistant Secretary-ND. Fatawi Abdallah Saleh (who is standing opposite the hoe) and keep the money they MEECO Nd.Fred Mont Kasambala in the process of sanitationEdit
(image) – Vijana wa MEECO TALENT GROUP(MTG) wakiwa katika onesho lao la kuwakaribisha wageni kutoka Shirika la thefoundation for civil society(image) – Young Talent MEECO GROUP (MTG) were in their presentation, inviting guests from thefoundation Organization for Civil SocietyEdit
Asasi ya Mwanakwerekwe Environmental Ethics and Cultural Organization(MEECO) kwa kushirikiana na American Corner English Club,siku ya jumamosi ya tarehe 23 July 2011 itafanya dhiara ya kwenda Kijiji cha Unguja Ukuu, mkoa wa Kusini Unguja wilaya ya Kati.Dhiara hiyo itakuwa na malengo yafuatayo: – Kuhamasisha Wanakijiji na Jamii ya Wazanzibar kwa ujumla umuhimu wa utunzaji,uhifadhi na Kulinda mazingira. Nafasi za Asasi zisizo za...Organization Mwanakwerekwe Environmental Ethics and Cultural Organization (MEECO) in collaboration with the American Corner Kiswahili Club, on Saturday the 23 July 2011 will go dhiara Village of Greatness Unguja, South Unguja Region Kati.Dhiara district will have the following goals : – Mobilizing the Community of Zanzibar Villagers overall importance of the preservation, conservation and environmental protection. The role...Edit
(image) – Miongoni mwa vitendo vya ajabu vinavyooneshwa na vijana wadogo wa MEECO TALENT GROUP katika harakati za kuwakaribisha wageni kutoka shirika la Thefoundationfor civil society tarehe 4/9/2011(image) – Among the extraordinary acts of vinavyooneshwa and young MEECO TALENT GROUP in the process of inviting guests from civil society organization Thefoundationfor on 04/09/2011Edit
(image) – Viongozi na wanachama wa jumuiya ya Mwanakwerekwe Environmental Ethics and Cultural Organization MEECO) wakiwa katika harakati za usafi wa mazingira katika maeneo yaliyo wazunguka(image) – Leaders and members of the community of Mwanakwerekwe Environmental Ethics and Cultural Organization MEECO) while in pursuit of sanitation in surrounding areasEdit
(image) – Maafisa kutoka Shirika la The foundation for Civil Society la Dar-es-salaam wakiwa katika dhiara yao ya kuitembelea Asasi ya MEECO baada ya kupokelewa kwa maombi yao ruzuku wa mradi wa kujengewa uwezo uliotumwa na jumuiya ya MEECO shati rangi ya chungwa ni Katibu wa jumuiya ya MEECO Nd. Suleiman J. Pandu, kushoto kwake ni M.Kiti kitengo cha Mazingira cha Asasi ya MEECO Nd. Halima Salum na pia ni diwani wa viti maalum(image) – Officials from the Organisation of The Foundation for Civil Society in Dar-es-Salaam were in dhiara them to visit institutions of MEECO after receipt of their application grant project of capacity was sent to community MEECO shirt orange is Secretary of the community MEECO ND. Suleiman J. Pandu, his left is M.Kiti Environment Unit of the Organization of MEECO ND. Halima Salum and also a councilor of quotaEdit
(image) – Meeco Talent Group (MTG) wakiwa katika chakula cha pamoja katika kusheherekea sikuu ya idielfitr nyumbani kwa Msaidizi Mwenyekiti Nd. Mwajuma Kombo Khamis(image) – Meeco Talent Group (MTG) as well as in food to celebrate a feast in the house of Deputy Chairman idielfitr ND. Mwajuma Khamis KomboEdit
(image) – Vijana wa MEECO TALENT GROUP (MTG) wakiwa katika harakati zao za kuwapokea wageni kutoka shirika la Thefoundation for Civil society baada ya shirika hilo kuitembelea Asasi ya MEECO(image) – Young Talent MEECO GROUP (MTG) were in their pursuit of the agency to receive visitors from Thefoundation for Civil Society after the agency to visit institutions of MEECOEdit