Envaya

/CEDO/news: Kiswahili

AsiliKiswahili
Raise public awareness of anticorruption through using the results of PETS both as an instrument of accountability target MDAs and LGAs that need to strengthen their public financial management. The report of organization activities on Public Expenditure Trucking Survey in Nzega District Council 2009-2010 ...(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Miradi inayoibuliwa kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo katika eneo husika la mradi husaidia miradi kutelezwa vyema na kuleta matokeo mema katika jamii(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Mafunzo husaidia kuongeza uwezo wa viongozi kufanya shughuli kwa uhakika na ufanisi wa hali ya juu.(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Semina zitolewazo kwa vinogozi husaidia kukuza uelewa wa wadau wa kimaendeleo, kama inavyoonekana viongozi wa Asas za Kiraia wakiwaskliza kwa makini mada zinazotolewa wakati wa Tamasha la AZAKI lililoandaliwa na The Foundation For Civil Society(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Improving the Lives of Adolescent Girls in Tabora Project Objectives Within the overall objective of improving adolescent girls' status in society so that they can improve their participation in development activities at household school community and organizational – • Increase the number of girls taking up administrative posts at school, community, organization and district levels. – • Improve girls' educational...(image) – Kuboresha maisha ya wasichana katika Tabora Mradi Shabaha Katika lengo la jumla la kuboresha hali vijana wasichana katika jamii ili waweze kuboresha ushiriki wao katika shughuli za maendeleo katika jamii ya kaya shule na shirika ngazi ya mradi unalenga: • Kuongeza idadi ya wasichana na kuchukua nafasi ya kiutawala katika ngazi ya shule, jamii, asasi na wilaya. • Kuboresha wasichana wa elimu kwa sasa • Kutoa ujuzi wa ufundi stadi kwa...
(This translation refers to an older version of the source text.)
Hariri
(image) – Mkurugenzi Mtendaji wa The Foundation for Civil Society akitoa Cheti baada ya mafunzo ya usimamizi wa Miradi(Bila tafsiri)Hariri
(image)(Bila tafsiri)Hariri
Legal framework to fight against corruption is Public Finance Act 2001; Public Procurement act 2004, Public Leaders Code of Ethics, Criminal Procedure Act 1985, and help to monitor corruption(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Kujadiliana na wanufaika wa mradi huleta mafanikio mema katika utekelezaji wa miradi(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Shughuli za mikono zinaweza kusaidia wanawake katika Ujasilamali hasa pale wanapokusanyika pamoja na kupewa mafunzo(Bila tafsiri)Hariri