Envaya

/TACOMO/news: English

BaseEnglish
(image) – Mkurugenzi wa Shirika hilo Gordon Kalulunga akielezea jambo kwa waandishi wa habari hawapo pichani.(image) – The agency director Gordon Kalulunga explaining it to the reporters are not pictured.Edit
Mbeya Vijijini na Mbozi vinara ugonjwa wa Fistula. – Serikali itoe elimu na kuwatibu wagonjwa. Mwanamke mmoja ang’olewa kizazi. – ASASI isiyokuwa ya Kiserikali ya Tanzania Community Media Organization (TACOMO) yenye makao makuu mkoani Mbeya, imesema ugonjwa wa matundu sehemu za siri kwa wanawake (Fistula) umekuwa mkubwa mkoani humo...Mbeya Rural and candlesticks Mbozi Fistula disease. – Government to provide education and rehabilitation patients. One woman ang'olewa generation. – Non-governmental organization of the Tanzania Media Community Organization (TACOMO) with headquarters in Mbeya, said disease vents genitals to women (Fistula) has become the...Edit
(image) – Kilimo kwanza Tanzania 2011(image) – Agriculture first Tanzania 2011Edit
(image) – Wanafunzi wa shule ya Msingi Yala wilayani Mbarali mkoani Mbeya wanaosoma darasa la sita na la saba wapata0 93 wakiwa katika darasa moja!!!(image) – Primary school students Yala Mbarali in Mbeya who read grade six and seven of 93 wapata0 being in one class!Edit
(image) – Je ulevi ndiyo unasababisha haya au umasikini?(image) – What are the causes of these addictions or poverty?Edit
(image) – Wananchi wa kijiji cha Yala wilayani Mbarali mkoani Mbeya wanaosubiri kuhamishwa na Serikali kupisha hifadhi ya wanyama(image) – Citizens of the village of Yala province Mbarali Mbeya awaiting relocation to make way for government wildlifeEdit
(image) – Kushoto ni Mweyekiti wa TACOMO Angelica Sullusi akiwa anajadiliana jambo na Mkurugenzi mtendaji wa Shirika hilo Gordon Kalulunga.(image) – Left is the TACOMO Mweyekiti Sullusi Angelica as she discussed the case and the agency's executive director Gordon Kalulunga.Edit
(image) – Kihenge cha kuhifadhia nafaka ukiwemo Mpunga, Karanga n.(image) – Mahenge for storing grain, including rice, peanuts n.Edit