Envaya
/YOCOSO/news
: English
Base
English
(image) – Dr Mmasi was facilitating about effect of drug abuse
(Not translated)
Edit
Mwezi wa saba yocoso tumeweza kumaliza shughuli za mradi wa AMKA uliolenga kutoa Elimu juu ya athari za matumizi ya dawa za kulevya miongoni mwa vijana. shughuli za Mradi zilikuwa na mafanikio kwani tuliweza kuwafikia vijana walengwa katika maeneo yao na kuweza kuongea nao kupitia shughuli zilizopangwa kufanyika katika Mradi, – Katika Mwezi wa saba tulikuwa tukifanya matukio ya kijamii ( matamasha) yaliyolenga kutoa elimu kwa vijana juu ya athari...
July yocoso we can finish the project activity was aimed to provide education arise on the effect of drug use among youth. The project activities were successful because we can reach young audiences in their areas and to talk to them through planned activities take place in the project, – In the seventh month we have social events (concerts) yaliyolenga educating youth about the impact yaDawa flow from the use of abuse. These concerts took place in a ward...
Edit
(image) – Washiriki wakifuatilia kwa makini mada ya athari za dawa za kulevya iliyokuwa ikiwezeshwa na Dr Mmasi.
(image) – Participants were monitored carefully to the topic of the effect of drugs was ikiwezeshwa and Dr Kumasi.
Edit
(image) – Mafunzo ya waelimishaji rika. mfunzo haya yalihusisha vijana 18 kutoka katika kata tatu za Manispaa ya Moshi ambazo ni Pasua,Njoro na Kaloleni, katika mafunzo hayo walijifunza mbinu za mbalimbali za kukabiliana na mazingira katika utekelezaji wa shughuli za mradi, pia walijifunza juu ya athari za dawa za kulevya
(image) – Training of peer educators. This study involved 18 young people from three wards of the Municipality of Moshi, which is Beat, Njoro and Kaloleni, in training they learn various methods of dealing with the implementation of project activities, they also learn about the effects of drugs
Edit
(image) – Picha ya pamoja na washiriki wa mafunzo ya uelimishajirika baada ya mafunzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Umati - Moshi
(image) – Images shared by participants of training after training uelimishajirika held in the hall of the crowd - Moshi
Edit
Youth Control Society sasa inaendesha mradi wa kuelimisha vijana kuacha kutumia dawa za kulevya katika kata nane za manispaa ya Moshi mjini ambazo ni Njoro, Msaranga, Karanga,Pasua, Kaloleni, Rau, Kiboriloni na Majengo. Mradi huu unaanza tarehe 1/10/2012 hadi tarehe 1/1/2013.
(Not translated)
Edit
(image) – Drug users training conducted at Tanzani Coffee hall, around Moshi town for six days. here participants making group discution.
(Not translated)
Edit
(image)
(Not translated)
Edit